Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Mnyamwezi keyon anawaongopea asiwadanganye
Asiwadanganye kamwe huyu Daby nyinyi akina mina,Aisha na mwanaidi.....lakini mabinti watashindwa kukataa kwa sababu wanapenda utamu wa maneno.
 
Maneno huundwa na silabi hizi silabi huundwa na sauti ambazo ni Irabu na konsonanti. Irabu na konsonanti ni nasibu tu. Kama nimekosea wataalamu wa lugha mnisahihishe
 
Mnisahihishe hata mimi pale nitakapokuwa nateleza katika matumizi ya lugha yetu adhimu ya Kiswahili.
 
Kiswahili kina misamiati michache mfano nani aniambie
Tafsiri ya maneno yafuatayo
1. Lunch
2. Dinner
3. Super
 
Super sport ni kituo bora kabisa cha kurusha matangazo ya kandanda,
Hapo wajuvi wa lugha wanaweza kutusaidia, wao wanadai misamiati ipo tu sana...tatizo hatupendi kutumia na kusoma vitabu.
 
Vitabu vimeshapitwa na wakati waweke makabrasha katika mitandao tuipakue tusome.
 
Tusome wangapi....? Mr. Hili halina Mjadala Waafrika (ngozi nyeusi) hatuna utamaduni wa kusoma vitabu, hehehe au ni laana .
 
Laana ni kulala na mwanamke ndugu yako na kula uroda naye.
 
Naye akikupa ushirikiano wa kutosha katika kupata raha ya milele,hiyo laana ya ndugu haina Nguvu mbona Israel kala oroda na Leah na Rachael...laana ni kuutazama utupu wa mzazi.
 
Back
Top Bottom