Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Wanang'angania kama nzi kidondani...Madarakani kutam hawawezi bali wanang'ang'ania
Wanang'angania kama nzi kidondani...Madarakani kutam hawawezi bali wanang'ang'ania
wanang'ang'ania lakini......20 siyo mbali.Madarakani kutam hawawezi bali wanang'ang'ania
Rakham ya upande wa juu ....Roho karim niliyo nayo mm rakham
Juu ya mti huu kuna nyoka wakaliRakham ya upande wa juu ....
Wakali kwanza ni kundi la wasanii wa bongoflavourJuu ya mti huu kuna nyoka wakali
Wakali sana wapo wapi leo hii, washasambaratishwa !!!Juu ya mti huu kuna nyoka wakali
B/flavour imechacha miaka hii yakaribuniWakali kwanza ni kundi la wasanii wa bongoflavour
Karibuni nakunywa chaiB/flavour imechacha miaka hii yakaribuni
Chai ya rangi au ya maziwa.Karibuni nakunywa chai
Maziwa baridi ndio mubashara na joto hili, sio chai ni ushamba huo nenda na wakatiChai ya rangi au ya maziwa.
Wakati unapokuwa ktk faragha unapswa kuzingatia...Maziwa baridi ndio mubashara na joto hili, sio chai ni ushamba huo nenda na wakati
Wakati wa kuvuna na wakati wa kupanda pia kuna wakati wa huzuni na wakati wa furaha.Maziwa baridi ndio mubashara na joto hili, sio chai ni ushamba huo nenda na wakati
Furaha idumu na huzuni itoweke Mola tupe faraja!!Wakati wa kuvuna na wakati wa kupanda pia kuna wakati wa huzuni na wakati wa furaha.
Lady j dee yupo wapi sku hiziFaraja wimbo wa Lady j dee
Hizi ni zama za ukweli na Uwazi.Lady j dee yupo wapi sku hizi
Uwazi ni gazeti la shigongoHizi ni zama za ukweli na Uwazi.
Uwazi ni pale watakapoacha kuwatekaHizi ni zama za ukweli na Uwazi.
Uwazi ni pale watakapoacha kuwateka[/QUOTE