Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,194
Waganga wapo tena wengi tuu ila angalia usije ingizwa cha kike.Makubwa yanayonikuta hivi Sasa,watu wanadai nikawaone Waganga.
Waganga wapo tena wengi tuu ila angalia usije ingizwa cha kike.Makubwa yanayonikuta hivi Sasa,watu wanadai nikawaone Waganga.
Kike-ke ni moja ya watangazaji mashuhuri wa BBC kutoka Taifa Tanzania.Waganga wapo tena wengi tuu ila angalia usije ingizwa cha kike.
Tanzania ni nchi yenye Vilaza wengi saana hata kwenye huu uzi wapoKike-ke ni moja ya watangazaji mashuhuri wa BBC kutoka Taifa Tanzania.
Wapo kwa sababu hawajishughulishi kupata chakula cha Ubongo na kuwawadadisi sana,Naamini kila mmoja anauwezo wa hali ya Juu Sasa wao mda wote ngono,Pombe na Umbeya!!Tanzania ni nchi yenye Vilaza wengi saana hata kwenye huu uzi wapo
Umbeya ni mbaya saana hasa ukiwa mtoto wa kiume maana unaweza kuchanwa marindaWapo kwa sababu hawajishughulishi kupata chakula cha Ubongo na kuwawadadisi sana,Naamini kila mmoja anauwezo wa hali ya Juu Sasa wao mda wote ngono,Pombe na Umbeya!!
Marinda ya foronya yamefanavsana ktkUmbeya ni mbaya saana hasa ukiwa mtoto wa kiume maana unaweza kuchanwa marinda
Marinda yakifumuliwa ni jambo kubwa la aibu.Umbeya ni mbaya saana hasa ukiwa mtoto wa kiume maana unaweza kuchanwa marinda
Marinda ya sketi huwapendezesha sana wanafunzi wa shuleUmbeya ni mbaya saana hasa ukiwa mtoto wa kiume maana unaweza kuchanwa marinda
Aibu utaona wewe... wenye ufirauni wao wanadiriki hata kuteteaMarinda yakifumuliwa ni jambo kubwa la aibu.
Kutetea Mambo kama haya kwakweli ni Upuuzi na hawafai kuishi Duniani.Aibu utaona wewe... wenye ufirauni wao wanadiriki hata kutetea
Shule za Sekondari zilizo na njisia ya kike tu huwa wanapata taabu pale Mshawashwa unapowakuta,hakika Mambo ya Mwili yana-Changamoto.Marinda ya sketi huwapendezesha sana wanafunzi wa shule
Nachangamaji ndo nnChangamoto mm nachangamaji
Mchangiaji bora humu anastahili ubingwa kwa radhaa za halaiki ya umma!!Nachangamaji ndo nn
Madini hayana usimamizi maalum tunapata hasara tanzaniaKustawi kwa miti kunahitaji mwanga, maji na madini
Tanzania ipo palepale ispokuwa waTanzania ndiyo tunayeyuka !!Madini hayana usimamizi maalum tunapata hasara tanzania
Tunayeyuka yatupasa tupaze sauti.Tanzania ipo palepale ispokuwa waTanzania ndiyo tunayeyuka !!
Sauti ya juu bila kuwa na Plan A,B ni kupoteza wakati....Tunayeyuka yatupasa tupaze sauti.
wakati....upi huo??Sauti ya juu bila kuwa na Plan A,B ni kupoteza wakati....