Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Tarafa ni neno la kiarabu .....Hai ni wilaya au tarafa
Tarafa ni neno la kiarabu .....Hai ni wilaya au tarafa
Kiarabu kwa ajili ya waarabuTarafa ni neno la kiarabu .....
Waarabu wakichanganyika na waswahili wanapatikana half cast wa ukweli.Kiarabu kwa ajili ya waarabu
Dira yetu ni katiba iliyodumu tangu uhuru !!Unapotawaliwa na cmm unapoteza dira
Mabavu ya Taifa kubwa ni safu ya wapiganaji..Uhuru ushapotea sasa hv Ni mabavu
Tu-Tafakari vyema Njisi ya kupata Mafanikio katika Maisha.zanzibar ndo maboooya kila siku wanalia na muungano tu
Maisha hayana mpangilio wa kumdumu !!Tu-Tafakari vyema Njisi ya kupata Mafanikio katika Maisha.
Kudumu katika Mahusiano Mema na Binadamu yahitaji Uvumilivu.Maisha hayana mpangilio wa kumdumu !!
Uvumilivu ktk kipindi cha mpito wa uchumi duni ni lazima !!Kudumu katika Mahusiano Mema na Binadamu yahitaji Uvumilivu.
Muwepo pahali maalum bila kuchelewa ili tukutane kwa pamoja tufurahi !!
Tufurahi turuke tuweke tu shida twetu chiniMuwepo pahali maalum bila kuchelewa ili tukutane kwa pamoja tufurahi !!
Chini nilipata kudondoka lakini sikupata majeraha ambayo yangesababisha nisiupate na kuufurahia utamu wa Binti huruma.Tufurahi turuke tuweke tu shida twetu chini
Huruma yako itakusababishia matatizo makubwaChini nilipata kudondoka lakini sikupata majeraha ambayo yangesababisha nisiupate na kuufurahia utamu wa Binti huruma.
Makubwa yanayonikuta hivi Sasa,watu wanadai nikawaone Waganga.Huruma yako itakusababishia matatizo makubwa