Mpigadili Tz
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 1,103
- 2,126
Vipi kuhusu wale wasafirishajimchanga wa dhahabu issue yake iliisha vipi
Vipi kuhusu wale wasafirishajimchanga wa dhahabu issue yake iliisha vipi
Wasafirishaji wa bidhaa za mikoani hutumia fuso..Vipi kuhusu wale wasafirishaji
Fuso Leyland pamoja na scaniaWasafirishaji wa bidhaa za mikoani hutumia fuso..
Scania zenyewe ni mbovuFuso Leyland pamoja na scania
Mbovu kikawaida inapelekwa gerejiScania zenyewe ni mbovu
Gereji bubu zote zilifungwa?Mbovu kikawaida inapelekwa gereji
Zilifungwa? Ila wacha zifungwe maana mafundi bubu pia walizidiGereji bubu zote zilifungwa?
Zilifungwa cheni gari zote mtaa wa nkurumah !!Gereji bubu zote zilifungwa?
Zetu hasa lako ulikuwa unalipeleka kwa kila fundi eeeh!Walizidi kutuharibia gari zetu
Eeeh! Unanitukana sasa Daby si lingekongoroka mm fundi wangu mmoja tuZetu hasa lako ulikuwa unalipeleka kwa kila fundi eeeh!
Mmoja tu anaweza kujenga mazoea na wewe akaja kuwa mchepuko wakoEeeh! Unanitukana sasa Daby si lingekongoroka mm fundi wangu mmoja tu
Wako wengi wanajaribu kunitamn ila mm siko tayarMmoja tu anaweza kujenga mazoea na wewe akaja kuwa mchepuko wako
Tayari nimeshapanga kuzungumza na wewe hayo mambo . Usimkubali mwingine sawa!Wako wengi wanajaribu kunitamn ila mm siko tayar
Sawa lkn mbona naogopaTayari nimeshapanga kuzungumza na wewe hayo mambo . Usimkubali mwingine sawa!
Naogopa ni neno unalotakiwa kulitoa kinywani mwako nitakupandikiza ujasiriSawa lkn mbona naogopa
Wanawake wana hadhi kunwa ktk jamii.., wao ndo mana,dada,binti,bibi,Shangazi na wifu !!Naogopa sana wanawake
Wifu sio neno la kiswahili zz labda kama unalazimisha kuliingiza.Wanawake wana hadhi kunwa ktk jamii.., wao ndo mana,dada,binti,bibi,Shangazi na wifu !!
Kuliingiza Taifa la wachawi ktk jumuiya ya wastaarabu ni janga kubwa !!Wifu sio neno la kiswahili zz labda kama unalazimisha kuliingiza.