Yasiyowahusu ni yapi hayo?Tu!! Lkn wanatekwa wanaojitia ushawishi kuingilia mambo ya watu yasiyowahusu
Hayo wanayoyavalia njuga lkn naona kama yanawatokea puaniYasiyowahusu ni yapi hayo?
Puani mwako kuna kamasi zito lipenge kwanzaHayo wanayoyavalia njuga lkn naona kama yanawatokea puani


Wapi ulipomuona ROMA?kwanza umeniona wapi
ROMA yuko kwake na mkewe anatafuta kiki anataka na yy aandikwe na BBCWapi ulipomuona ROMA?
BBC ni chombo cha habari kikubwa saana .kwanini unahisi roma anatafuta kikiROMA yuko kwake na mkewe anatafuta kiki anataka na yy aandikwe na BBC
Hii ni awamu ya tano kila mmoja Anajiona ngangari kuliko mwingineKiki zimetawala katika awamu hii
Mwengne anajiona Mungu wa DarHii ni awamu ya tano kila mmoja Anajiona ngangari kuliko mwingine
Dar ni jiji la ajabu saana na nahisi na wewe upo hukoMwengne anajiona Mungu wa Dar
Huko mm siko nilipo ni nje ya AfricaDar ni jiji la ajabu saana na nahisi na wewe upo huko
Africa is our nation and we have to proud forHuko mm siko nilipo ni nje ya Africa
For what?? Me naipenda Africa lkn kuna baadhi ya watu wanaiharibu sifa yakeAfrica is our nation and we have to proud for
For me wanasiasa mnatutia ayibu kwa tabia za ufisadi na vitendo vya ubadhirifu !!!Africa is our nation and we have to proud for
For what? For these unrest turmoils and political controversials hell no!Africa is our nation and we have to proud for
No one is allowed kutumia English hapa fuateni sheriaFor what? For these unrest turmoils and political controversials hell no!
No no hundred times NO...For what? For these unrest turmoils and political controversials hell no!
Sheria haimlindi bwege wala juha....No one is allowed kutumia English hapa fuateni sheria