lemutunguz
Member
- Nov 15, 2016
- 51
- 51
Kubwa lakini halimzidi bashiteKansa siku hizi ni tatizo kubwa!
Kubwa lakini halimzidi bashiteKansa siku hizi ni tatizo kubwa!
Bashite ni nani naskia skia tu bashite bashite.Kubwa lakini halimzidi bashite
Bashite ndo mdudu ganiKubwa lakini halimzidi bashite
Shughuli za harusi huwa hazina dogo wala muhtasari !!!Kulionja pishi lake tu shughuli
Roma romario sometimes !!Muda kitu gani embu tuingiee mtaaniii tumtafute romaa..
Sometimes umojaaa unahitajik kwaajili ya kupambna zidiii ya hiii vitendo viovuuu nchiniiiRoma romario sometimes !!
Saana Sana tutasema wee mwishoe tutalala hiyo ndo kaulimbiu ya wanaSiasa wakongwe !!Nchini Tanzania kuna mambo ya ajabu saana.
Saana Sana tutasema wee mwishoe tutalala hiyo ndo kaulimbiu ya wanaSiasa wakongwe !!
Fulani wewe acha hizo bhanaa hana jina?
Umaarufu huanzia pale unapotiwa mikononi...Mitandao inampatia umaarufu
Mikononi mwa police ni sehemu salamaUmaarufu huanzia pale unapotiwa mikononi...
SalamaSalmini kwa taifa letu lenye utukufu !!Mikononi mwa police ni sehemu salama