Utukufu uliotukuka kutoka MunguSalamaSalmini kwa taifa letu lenye utukufu !!
Utukufu uliotukuka kutoka MunguSalamaSalmini kwa taifa letu lenye utukufu !!
Mungu wetu ni mwema wakati wote ila mbona hawachukui wanaochafua nchi yetu anachukua watu potential?Utukufu uliotukuka kutoka Mungu
Mungu hutoa na hutwaa wala hahitaji ushauri !!Utukufu uliotukuka kutoka Mungu
Ushauri baadhi ya muda utakuchelewesha ukiufata bora jiamulie tuMungu hutoa na hutwaa wala hahitaji ushauri !!
Jiamulie tu ufunge ndoa mengina utaunganisha mbele...Ushauri baadhi ya muda utakuchelewesha ukiufata bora jiamulie tu
Mbele yangu kuna vikwazo vingiJiamulie tu ufunge ndoa mengina utaunganisha mbele...
Vingine vingi ntakutumia ili uweze kuwa mjasiria....Mbele yangu kuna vikwazo vingi
Vingi vikwazo ni changamoto za maisha, endelea kupambana mkuu.Mbele yangu kuna vikwazo vingi
Pekee yake ndiyo hufanya atakalo na huruzuku riziki zote....Mkuu ni Mungu pekee yake.
Zote halali na haramuPekee yake ndiyo hufanya atakalo na huruzuku riziki zote....
Uhuru wa kuongea umetekwa nyaraHaramu si kitu kizuri, kinakunyima amani na uhuru.
Uhuru wa kuongea umetekwa nyara
Zinapotea kwa mazingira yapiNyara za serikali zinapotea
Yapi mazuri Kati ya haya na yaleZinapotea kwa mazingira yapi
Yale ya kale hayakumbukwi katika kizazi kipya!!Yapi mazuri Kati ya haya na yale
Kizazi kipya cha kutekanaYale ya kale hayakumbukwi katika kizazi kipya!!