Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
inauma sana kuona ufisadi umekubalika ktk kila sekta serikalini haswa bila kuwajibishwa !!!Njaa ni pale unapotaka kula halafu unakuta chakula wamekula chote inauma...!!!
inauma sana kuona ufisadi umekubalika ktk kila sekta serikalini haswa bila kuwajibishwa !!!Njaa ni pale unapotaka kula halafu unakuta chakula wamekula chote inauma...!!!
Kuwajibishwa ni aibu kwa mtu yeyote yule ni bora kufanya kitu kwa maamuzi yakoinauma sana kuona ufisadi umekubalika ktk kila sekta serikalini haswa bila kuwajibishwa !!!
Yako meno sidhani kama yanamwanya.Kuwajibishwa ni aibu kwa mtu yeyote yule ni bora kufanya kitu kwa maamuzi yako
Yana mwanya safi nimerithi kwa mamaanguYako meno sidhani kama yanamwanya.
Mamaayanguu, sasa si utakuwa mzuri sana thatsit. !Yana mwanya safi nimerithi kwa mamaangu
Thatsit n kweli anayoyasema daby...Mamaayanguu, sasa si utakuwa mzuri sana thatsit. !
Daby binafsi sijawahi kuongopaThatsit n kweli anayoyasema daby...
Daby anataka kuona mwanya wanguThatsit n kweli anayoyasema daby...
Wangu mpenz anapendaa xanaaa kuimbaaDaby anataka kuona mwanya wangu
Wangu pekee ndiyo ninao uthaminiDaby anataka kuona mwanya wangu
Uthamini wako nina utilia shakaWangu pekee ndiyo ninao uthamini
Shaka zullu alikuwaa kiongozi mzuri south africaUthamini wako nina utilia shaka
South Africa ni nchi yenye madili mengi kwa africa kwasasa hiviShaka zullu alikuwaa kiongozi mzuri south africa
Hiv sasa n saa 16:35..South Africa ni nchi yenye madili mengi kwa africa kwasasa hivi
16.35 ni kwa masaa ya east africa. Umeshajiuliza wote tupo east africa?Hiv sasa n saa 16:35..
16:35 ni sawa na saa kumi na dakika thelathini na tano kwa mfumo wa saa kumi na mbiliHiv sasa n saa 16:35..
Kumi na mbili ni alama za chini kabisa kwa mwanafunzi mwenye uweledi16:35 ni sawa na saa kumi na dakika thelathini na tano kwa mfumo wa saa kumi na mbili
uweledi ndio niniKumi na mbili ni alama za chini kabisa kwa mwanafunzi mwenye uweledi
Nini unachouliza mtu mzima kama wewe? Au kuna mtu kakuungia bando?uweledi ndio nini
bando lenyewe halichachiNini unachouliza mtu mzima kama wewe? Au kuna mtu kakuungia bando?