Sheria is no longer problem. The Problem is to use English while your level is below the standards.No one is allowed kutumia English hapa fuateni sheria
Mjanja ni mimi na wewe thatsitWala mjinga anaejiona mjanja
Thatsit ni fake id naitumia hapa tu JfMjanja ni mimi na wewe thatsit
JF ni kijiwe cha wana washkaji na watu na heshima zao.Thatsit ni fake id naitumia hapa tu Jf
Cacao naskia zinaongeza nguvu za kiumeZao kuu la Ghana ni cacao
Nguvu za kiume kwani zimekupungua??Cacao naskia zinaongeza nguvu za kiume
Zimepungua zao ila sio za kwangu.Nguvu za kiume kwani zimekupungua??
Kwangu zipo zikipungua njoo uchukueZimepungua zao ila sio za kwangu.
Uchukue chukue tu bila utaratibu.Kwangu zipo zikipungua njoo uchukue
Utaratibu utaujua ukifika mlangoniUchukue chukue tu bila utaratibu.
Mlangoni kuna walinzi wengi saana na sipend mitafaruko na watuUtaratibu utaujua ukifika mlangoni
Mdomoni huwapo backteria ma magonjwa kadha...!Puani wakat mwingine hata mdomoni
Kadha wa kadhaa yakiwemo magonjwa ya menoMdomoni huwapo backteria ma magonjwa kadha...!
Meno ya gego ndiyo yenye nguvu za kurarua..!Kadha wa kadhaa yakiwemo magonjwa ya meno
Vibaya kula peke yako mbele ya wenzio wenye njaa !!Kurarua muda mwingine ni vibaya
Njaa ni pale unapotaka kula halafu unakuta chakula wamekula chote inauma...!!!Vibaya kula peke yako mbele ya wenzio wenye njaa !!