BUSARA ZANGU
JF-Expert Member
- May 5, 2013
- 778
- 1,269
Kujikimboa kwenye nchi kama TZ inahitaji juhudi kubwa mno
Mnono wa nundu ya ng'ombe ina ladha taamu!!Kujikimboa kwenye nchi kama TZ inahitaji juhudi kubwa mno
taamu kama asali ya nyuki wa JangwaniTaamu!! Km nn..
jangwani kuna maafurikotaamu kama asali ya nyuki wa Jangwani
Mafuriko yanasababishwa na mvua kubwa zilizonyeshajangwani kuna maafuriko
zilizonyesha wapiMafuriko yanasababishwa na mvua kubwa zilizonyesha
Hii nchi ina maajabu yasiyoishaWapi kusikonyesha mvua nchi hii?
Kabisa tena mtumishi yeyote anayeleta swaga hizo alaaniweMtawala anayeona yeye Ni Kama Mungu hafai kabisa...!!
Alaaniwe nani unadhani, baada ya shetani?Kabisa tena mtumishi yeyote anayeleta swaga hizo alaaniwe
Shetani lipo kwenye utawala huu wa awamu ya tano,tena lipo ktk ngazi yq juu walaaniwe hakuna namnaAlaaniwe nani unadhani, baada ya shetani?
Namna ipi na kivipi walaaniwe?Shetani lipo kwenye utawala huu wa awamu ya tano,tena lipo ktk ngazi yq juu walaaniwe hakuna namna
Mshindi kupatikana hapa sio rahisi,kunywa chai kwanzaUzi hatuwezi kuukosa me nakesha nataka kuwa mshindi