Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Nani anaweza kujenga bila kubomoa ??Daudi bashite ndio nani
Nani anaweza kujenga bila kubomoa ??Daudi bashite ndio nani
wake wa wasanii wa picha 'mbovu' wana roho ngumuKubomoa ni kumlinda mwenye vyeti feki na kumtumbua anayetimiza wajibu wake
Njia za mkato na njia za panya tayari zimeshutukiwa na mabingwa !!!mawazo mengi kichwani humfanya mtu apotee njia
Mabingwa waliokirudisha chama leo wanaadhirika, duh!Njia za mkato na njia za panya tayari zimeshutukiwa na mabingwa !!!
Duh! Kumbe Nape kaamua kukaa pembeni.Mabingwa waliokirudisha chama leo wanaadhirika, duh!
Pembeni una maanisha mahala palipo jitenga auDuh! Kumbe Nape kaamua kukaa pembeni.
Pembeni wapi hapo ukumbini au pembeni benchi la ufundi...??Duh! Kumbe Nape kaamua kukaa pembeni.
Mwerevu wa dunia ya leo ni risevu wa mwishoPembeni una maanisha mahala palipo jitenga au
mwerevu
Mshindi wa uzi huu.., mie binafsi ntamtunuku tuzo na zawadi adhimu..!!Mwisho wa uzi huu ndio utatupatia mshindi
Adhimu kama anayotoa DcMshindi wa uzi huu.., mie binafsi ntamtunuku tuzo na zawadi adhimu..!!
Dc wetu anafanya kaz zake kwa kujituma.Adhimu kama anayotoa Dc
DCAdhimu kama anayotoa Dc
kujituma ni njia moja pekee ya kujikomboa !!!Dc wetu anafanya kaz zake kwa kujituma.