ElPuto Jefe
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 5,286
- 19,463
Neema ya Bwana na iwe juu yenu nyote.Asubuhi yako njema yenye neema...
Neema ya Bwana na iwe juu yenu nyote.Asubuhi yako njema yenye neema...
Nyote mbarikiweNeema ya Bwana na iwe juu yenu nyote.
nyote mmechemsha, kiulaini nachukua ushindi wa uzi huu coz mimi ndio wa mwishoNeema ya Bwana na iwe juu yenu nyote.
Mbarikiwe nyote mnaopiga kelele bashite aondoke madarakaniNyote mbarikiwe
Mwisho bado sana, endelea kusubiria.nyote mmechemsha, kiulaini nachukua ushindi wa uzi huu coz mimi ndio wa mwisho
Madarakani patamu sana.Mbarikiwe nyote mnaopiga kelele bashite aondoke madarakani
Patamu sana kama utakuwa unaongoza kwa kufuata kanuni na taratibuMadarakani patamu sana.
Taratibu zinazoleta utamu ni zile azipendazo mtawalaPatamu sana kama utakuwa unaongoza kwa kufuata kanuni na taratibu
taratibu nyingi zinakiukwa siku hiziPatamu sana kama utakuwa unaongoza kwa kufuata kanuni na taratibu
Siku hizi kila mtu ni mtawala.taratibu nyingi zinakiukwa siku hizi
mtawala anatuzinguaSiku hizi kila mtu ni mtawala.
Humu ndani naona wageni tuu, vipi mdogo wangu wa faidaAnatuzingua tena sio kitoto nilikuwa namuelewa harakati zake Ila kwa sasa basi tena sina imani nae,,, wazima humu
Faida na hasara ndio maana ya biashara, safi tu Dada upo kweli wewe maana sio kupoteana huku dahHumu ndani naona wageni tuu, vipi mdogo wangu wa faida
Daah, nipo jamani labda tunapishana tuFaida na hasara ndio maana ya biashara, safi tu Dada upo kweli wewe maana sio kupoteana huku dah
Kidogo naingia kwenye huu uzi, nazunguka kwenye nyuzi nyingineTunapishana tu;? Wapi sasa jamani ndio bila kuonana hata kidogo
Nyingine nimeacha kuhudhuria kabisa kutokana na majukumu kuwa mengi kuliko uwezo, vipi lakini bi mdada SakayoKidogo naingia kwenye huu uzi, nazunguka kwenye nyuzi nyingine
Sakayo nipo, nasukuma gurudumu lisiloenda mdogo wangu.Nyingine nimeacha kuhudhuria kabisa kutokana na majukumu kuwa mengi kuliko uwezo, vipi lakini bi mdada Sakayo