Aurora
JF-Expert Member
- May 25, 2014
- 7,308
- 5,275
kwanza mimi ndio mshindiMshindi kupatikana hapa sio rahisi,kunywa chai kwanza
kwanza mimi ndio mshindiMshindi kupatikana hapa sio rahisi,kunywa chai kwanza
Mshindi hajitangazi yeye mshindi,hutangazwa yeye ndo mshindi breakfast muhimu kwanzakwanza mimi ndio mshindi
kwanza unakula breakfast ya kitu gani?Mshindi hajitangazi yeye mshindi,hutangazwa yeye ndo mshindi breakfast muhimu kwanza
Kitu gani vepe!!hapa ni supu ya mbuzi na chapatikwanza unakula breakfast ya kitu gani?
supu ya mbuzi na chapati napenda sana, tena utie pilipili na ndimuKitu gani vepe!!hapa ni supu ya mbuzi na chapati
Pili pili na ndimu kwenye supu ndo mwake yani km kiba na diamond kwenye muzikisupu ya mbuzi na chapati napenda sana, tena utie pilipili na ndimu
Yako wapi yale tuliahidiwa kipindi cha kampeniMuziki wao mtam kuliko iyo supu yako
2020 niKampeni zimeisha subiri kuahidiwa tena 2020
km msipokuwa serious2020 nikufanya maamuzi magumuKampeni zimeisha subiri kuahidiwa tena 2020
Tz yetu siamini km inatikiswa na mtoto si riziki bashiteNape Nnauye at least he show us some heroic deeds, and quarity of being honesty we love him... hana tamaa na madaraka, amekomaa kisiasa he is kind, ametoka kishujaa we are behind him on every new step he makes God bless Tz yetu
Bashite sipendi kumzungumzia nipo pamoja na media zote vipi mkuuTz yetu siamini km inatikiswa na mtoto si riziki bashite
Mkuu anavyotupeleka siyoBashite sipendi kumzungumzia nipo pamoja na media zote vipi mkuu
Nimeshashinda diwan huyoo hong kongLkn nahic km nimeshashinda.