maji yanapatikana kwa wingi sasa, hasa kipindi hiki cha mvuamaboya ndio yale yanayoelea juu ya maji
maji yanapatikana kwa wingi sasa, hasa kipindi hiki cha mvuamaboya ndio yale yanayoelea juu ya maji
Mvua husababisha mafuriko.maji yanapatikana kwa wingi sasa, hasa kipindi hiki cha mvua
dar es salam kila mkoa mchafu kimaadili na kimazingiraBashite ni mkuu wa mkoa wa dar es salaam
Mvua zinazonyesha ni kwa ajili ya mashamba yatakayozalisha malighafi za viwanda.maji yanapatikana kwa wingi sasa, hasa kipindi hiki cha mvua
Viwanda vyetu ni vizuri vikategemea malighafi ya hapahapa Nchini!Mvua zinazonyesha ni kwa ajili ya mashamba yatakayozalisha malighafi za viwanda.
Nchini kwetu Tanzania kuna kila aina ya madiniViwanda vyetu ni vizuri vikategemea malighafi ya hapahapa Nchini!
Faida tungeipata tu kama tungejitambuaMadini yanachimbwa watanzania hatuijui faida
Tungejitambua ingekua ni jambo la maana sana.Faida tungeipata tu kama tungejitambua
Sana sana tunaambulia mashimo ambayo hayana tija yeyoteTungejitambua ingekua ni jambo la maana sana.
Yeyote kati yetu anafaa kuwa wa kwanza kuchukua hatuaSana sana tunaambulia mashimo ambayo hayana tija yeyote
Yeyote kati yetu anafaa kuwa wa kwanza kuchukua hatua
Hakijaeleweka kila kilicho elezwa, Eti Kazi tu!... Loh! Hata tusile?Vizuri? Nice nini hakijaeleweka