Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Kweli Mungu ni mwema mdogo wangu, pambana tuu naamini utatoka tu
Utatoka tu kama juhudi na maarifa viko kichwani mwako ahsante Dada always I keep your words on my mind thanks a lot love
 
Utatoka tu kama juhudi na maarifa viko kichwani mwako ahsante Dada always I keep your words on my mind thanks a lot love
Love you, ndo maana nakutia moyo. Naamini ukipata na mie nimepata
 
Kabisa kabisaaaa...Magu katuona sisi mafala...yani maboyaaa
 
Back
Top Bottom