T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,931
- 30,082
Keshaolewa dada yake ila yeye bado hajaolewaSalama hivi keshaolewa!
Keshaolewa dada yake ila yeye bado hajaolewaSalama hivi keshaolewa!
Hajaolewa na uzuri wake wote?Keshaolewa dada yake ila yeye bado hajaolewa
Wote humu mmeshakula, au njaa tupuHajaolewa na uzuri wake wote?
Tupu ni kutokuwepo kwa kitu lengwa katika sehemu husikaWote humu mmeshakula, au njaa tupu
Uzi hutumika pia katika upigaji puchuHusika na kichwa cha uzi
Puchu kwa uzi, howUzi hutumika pia katika upigaji puchu
How can you ask such question!are you not a qualified CHAPUTA'S MEMBER?Puchu kwa uzi, how
husika na somo hapo bangoni ulimulike kwa tochi...Tupu ni kutokuwepo kwa kitu lengwa katika sehemu husika
CHAPUTA ni chama kikubwa nchi nzima tuna dai ruzuku serikali kuuHumu itakuwa kuna wanachama wa CHAPUTA
Tochi inaweza kumulika penye giza ila sio penye mwangahusika na somo hapo bangoni ulimulike kwa tochi...
Bakhressa ammi yangu mwenye hadhi na roho karimu.....!!Kilomanjaro ni majina ya boti za Bakhressa
Karimu ni kuwa na roho ya utoajiBakhressa ammi yangu mwenye hadhi na roho karimu.....!!
Utoaji wa mikopo uzingatie hali halisiKarimu ni kuwa na roho ya utoaji
Halisi ipi unayoizungumzia!Utoaji wa mikopo uzingatie hali halisi