Mweupe na mweusi kama pundamilia ....Ipi mada nzuri wakuu iliyotrend sana hapa bingo je sakata LA vyeti au unga mweupe!?
Mzuri sana huyu katibu mukhtasi ....!!Pundamilia mnyama mzuri sana
Mukhtasi ni neno la Lugha gani?Mzuri sana huyu katibu mukhtasi ....!!
Lugha gani zaidi ya kiarabu chenye kizazi chachu ya kiswahili....!!Mukhtasi ni neno la Lugha gani?
Tukitunze kama tutunzavyo vyenye thamani kwetuKiswahili ni kizuri jamani, tukitunze
Kwetu chamwino kuna zabibu....Tukitunze kama tutunzavyo vyenye thamani kwetu
Zabibu ni tunda zuri sana kwa afyaKwetu chamwino kuna zabibu....
Zabibu ni tunda zuri sana kwa afya
Aibu ni pale ufanyavyo kitu bipa kuuliza au kufuata taratibu !!!Mwisho wa ubaya ni aibu
Mafuta yameporomoka bei sokoni....
Taratibu za uzi huu ziheshimiweAibu ni pale ufanyavyo kitu bipa kuuliza au kufuata taratibu !!!
Sokoni bidhaa ya nyanya bei imepandaMafuta yameporomoka bei sokoni....