Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,735
- 76,360
Maendeleo bila kujituma ni sawa na bureUkiritiba hurudisha nyuma maendeleo
Maendeleo bila kujituma ni sawa na bureUkiritiba hurudisha nyuma maendeleo
Bure haipatikani kipindi hiki cha Magufuli.Maendeleo bila kujituma ni sawa na bure
Hapa hakuna njia, kapite CENTRALMaguguli!? Mi napita tu apa
Central railway line ishafufuliwa....!!Hapa hakuna njia, kapite CENTRAL
Kweli tutapata ahuweni na kusafiri ...Isafufuliwa kweli
Kweli alibakari angalia unapoandika acha papara!Isafufuliwa kweli
Kusafiri kunataka maandaliziKweli tutapata ahuweni na kusafiri ...
Maandalizi yanahitaji fungu maalum ya mali...Kusafiri kunataka maandalizi
..mali siku hizi unaisoma kwenye thread tu kma iviiMaandalizi yanahitaji fungu maalum ya mali...
Ivii huu mchezo tutaumaliza lini..mali siku hizi unaisoma kwenye thread tu kma ivii
Lini tutaonana pamoja wana mchezo huu...Ivii huu mchezo tutaumaliza lini
Huu ndiyo uzi uliyotuunganisha waTZ kitaifa...Huu sasa ndio mjongeo wangu kuelekea ushindi wa mchezo huu
Kitaifa tumeungana pamoja kwenye mitandao ya kijamii,kuna siku tutaonana uso kwa uso.Huu ndiyo uzi uliyotuunganisha waTZ kitaifa...
Segerea kuna mji mpya mpaka kinyereziUso wake una makovu kama nyapara wa segerea
Umeme wa kinyerezi chanzo chake ni gesiKinyerezi c kuna mitambo ya kufua umeme