zulushaka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2017
- 372
- 299
Hizo zilikuwa enzi zako, Leo nipo hapa Bwiru sec uwanjani nafanya mazoez na mwanza veteranBwiru sec schl nilisomaga enzi hizo...
Hizo zilikuwa enzi zako, Leo nipo hapa Bwiru sec uwanjani nafanya mazoez na mwanza veteranBwiru sec schl nilisomaga enzi hizo...
Mza Veteran, basi nami uniandikishe nije na njuga!!Hizo zilikuwa enzi zako, Leo nipo hapa Bwiru sec uwanjani nafanya mazoez na mwanza veteran
Njuga ndiyo kitu gani??Mza Veteran, basi nami uniandikishe nije na njuga!!
gani gawni uivaayo siku jumapili!??Njuga ndiyo kitu gani??
Jumapili siku ya mapumziko mavazi yake ni ya kupendezagani gawni uivaayo siku jumapili!??
You are the most intelligent person ever meetZz miss you
Mtu wangu ulifichwa wapiKupendeza ni kuwa mtanashati ukisimama mbele za watu unaonekana na wewe mtu
Wapi bhanah mambo yalificha huko mbali Dada yangu kipenzi hope huko fine nimekumissMtu wangu ulifichwa wapi
Nimekumiss mpaka naumwa mdogo wanguWapi bhanah mambo yalificha huko mbali Dada yangu kipenzi hope huko fine nimekumiss
Amenikimbia akidhani sitapata mwingine auWangu wa moyo amenikimbia
Wangu me nipo Ila mambo mengi kidogo si unajua tunakarabia kufunga kachuo.. Na quaressima hii ndio maana tunapotea,, vipi lakini wangu!?Nimekumiss mpaka naumwa mdogo wangu
Lakini wangu umenisusa mno bwana, mie nipo Mungu ni mwema siku zasonga. Kwema lakiniWangu me nipo Ila mambo mengi kidogo si unajua tunakarabia kufunga kachuo.. Na quaressima hii ndio maana tunapotea,, vipi lakini wangu!?
Lakini ckuhz maisha yamekuwa magumu mpaka NDUGU hatutembeleaniLakini wangu umenisusa mno bwana, mie nipo Mungu ni mwema siku zasonga. Kwema lakini