Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Pamoja sana mdogo wangu, mambo zingineHivyo basi nikutie moyo usijali tupo pamoja
Pamoja sana mdogo wangu, mambo zingineHivyo basi nikutie moyo usijali tupo pamoja
Ya msingi tunayafanya kama kawaidaBashite amewafanya watu wasahau yao ya msingi
kawaida yangu silali mchana....Ya msingi tunayafanya kama kawaida
Kawaida kufanya kazi kwa mazoeaYa msingi tunayafanya kama kawaida
Mazoea ndiyo huboresha kinacho stahili!!Kawaida kufanya kazi kwa mazoea
Kinacho stahili ni kila mmoja kufanya kazi kwa bidii na maarifaMazoea ndiyo huboresha kinacho stahili!!
Utii na maarifa ni vitu tofauti kabisa!!Maarifa huzidisha utii
Maarifa huwepo katika taharuki za ubunifu...Kinacho stahili ni kila mmoja kufanya kazi kwa bidii na maarifa
Ubunifu wa mavazi siku hizi unafanywa na kila mtu mpaka kero....Maarifa huwepo katika taharuki za ubunifu...
Kero lwa wengine tu ila ufahari kwa wavaao!!Ubunifu wa mavazi siku hizi unafanywa na kila mtu mpaka kero....
Wavaao vinyago usoni kulikoni?Kero lwa wengine tu ila ufahari kwa wavaao!!
Kulikoni mwenye matokeo ya Yanga anijuzeWavaao vinyago usoni kulikoni?
Zingine poa tu bado tunaishi na kuisoma namba mkuuPamoja sana mdogo wangu, mambo zingine
Mkuu maisha ni haya haya kila siku, we Pambana na Mungu akusaidieZingine poa tu bado tunaishi na kuisoma namba mkuu
Akusaidie pia wangu, me sasa hivi nashukuru mambo yamekaa sawia kimtindo ni jambo jema kwa kweliMkuu maisha ni haya haya kila siku, we Pambana na Mungu akusaidie
Kweli hujitenga kwenye uongoAkusaidie pia wangu, me sasa hivi nashukuru mambo yamekaa sawia kimtindo ni jambo jema kwa kweli
Uongo ni dhambiKweli hujitenga kwenye uongo
Kweli ni kumshukuru Mungu tu kwa kila jambo, nae hatachoka kukubarikiAkusaidie pia wangu, me sasa hivi nashukuru mambo yamekaa sawia kimtindo ni jambo jema kwa kweli