Paprika
JF-Expert Member
- Feb 25, 2017
- 5,950
- 9,880
Wapi kuna samaki sangara?Jasho halitoki kwa sbb "no pain no gain" lishe ipo wapi?
Wapi kuna samaki sangara?Jasho halitoki kwa sbb "no pain no gain" lishe ipo wapi?
Wakuu, lishe ina umuhimu wakeWapi utaipata hyo lishe kirahisi haliyenyewe ilivyo ngumu hvi wakuu
Sangara utazipata mwaroni ....Wapi kuna samaki sangara?
Kheri itoke wapi wakati sisi wenyewe wazembe?Wakuu tulifundishwa kiwa sunira ya vuta kheri!!
Kheri wapatanishi maana nao wataitwa wana WA munguWakuu tulifundishwa kiwa sunira ya vuta kheri!!
Wazembe wawili ktk jamii husababisha mtafaruku !!Kheri itoke wapi wakati sisi wenyewe wazembe?
Mtafaruku kati ya zamiluni na paprica huko jf ulikuwa mkubwa hou wazee!Wazembe wawili ktk jamii husababisha mtafaruku !!
Mtafaruku watakao uanzisha utawazuru wengi.Wazembe wawili ktk jamii husababisha mtafaruku !!
Wengi hufuata mkumbo na mikurupuko..!!Mtafaruku watakao uanzisha utawazuru wengi.
Wazee walitusihi hivi ukiwaona ndege wawili usiwa kurupushe !!!Mtafaruku kati ya zamiluni na paprica huko jf ulikuwa mkubwa hou wazee!
Jikurupushe, jihangaishe jichekeshe lkn deni language liko palepaleWazee walitusihi hivi ukiwaona ndege wawili usiwa kurupushe !!!
Palepale alipo simama bingwa wa ukombozi!!Jikurupushe, jihangaishe jichekeshe lkn deni language liko palepale
Mikurupuko ya huyu mwenzetu imezidi.Wengi hufuata mkumbo na mikurupuko..!!
Usiwakurupushe kwa sababu gani?Wazee walitusihi hivi ukiwaona ndege wawili usiwa kurupushe !!!
Ukombozi WA nchi masikini NI kilimo siyo julalama tuu!!Palepale alipo simama bingwa wa ukombozi!!
Palepale ulipokiacha kitabu chake?Jikurupushe, jihangaishe jichekeshe lkn deni language liko palepale
Ukombozi wetu niyeye kukiri kosaPalepale alipo simama bingwa wa ukombozi!!
Kosa kila mtu hukosea ila kukariri kufanya makosa ni uzembe!!!Ukombozi wetu niyeye kukiri kosa
Tu watu wa kizazi kipya.Ukombozi WA nchi masikini NI kilimo siyo julalama tuu!!



Kosa sio kosa Bali kurudia kosa ndio kosa PaprikaUkombozi wetu niyeye kukiri kosa