Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Kipya nilichojifunza ni unaya kugeuzwa kizuri!!Tu watu wa kizazi kipya.
![]()
Kipya nilichojifunza ni unaya kugeuzwa kizuri!!Tu watu wa kizazi kipya.
![]()
Uzembe wao ulifanya apoteze uhai wake!Kosa kila mtu hukosea ila kukariri kufanya makosa ni uzembe!!!
Kosa mtakalo lifanya NI pale nitakapo pata neno ambalo NI gumu kulianzia sentesi nanyi mkachemka kuiquotUkombozi wetu niyeye kukiri kosa
Uhai wake hakuuthamini na hatakiulinda!!Uzembe wao ulifanya apoteze uhai wake!
Kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza.Kipya nilichojifunza ni unaya kugeuzwa kizuri!!
Kuiquoti siyo big dili ni mchanganuo wa maneno!!Kosa mtakalo lifanya NI pale nitakapo pata neno ambalo NI gumu kulianzia sentesi nanyi mkachemka kuiquot
Hatukuulinda kwa sababu tuliwaaminj sana wao.Uhai wake hakuuthamini na hatakiulinda!!
Kuiquot si neno halisiKosa mtakalo lifanya NI pale nitakapo pata neno ambalo NI gumu kulianzia sentesi nanyi mkachemka kuiquot
Wao walishasema msitufuate bila kuisoma dhamira !!!Hatukuulinda kwa sababu tuliwaaminj sana wao.
Maneno!! Hahahaaa umejitahid babu zamiluni WA mwaloniKuiquoti siyo big dili ni mchanganuo wa maneno!!
Dhamira yao sikuielewa.Wao walishasema msitufuate bila kuisoma dhamira !!!
Mwaloni kuna Sangara njoo leo nikukirimu !!Maneno!! Hahahaaa umejitahid babu zamiluni WA mwaloni
Maneno yenyewe sio ata ya kiswahili.Kuiquoti siyo big dili ni mchanganuo wa maneno!!
Mwaloni ndo sehemu gani?Maneno!! Hahahaaa umejitahid babu zamiluni WA mwaloni
Nikukirimu miye KWA dagaa WA maweni Kule bwiruMwaloni kuna Sangara njoo leo nikukirimu !!
Mwaloni/mwaroni ni fukwe ndogo kandokando ya ziwa au bwawa.. kama vile bandari la kienyeji!!Mwaloni ndo sehemu gani?
Bwiru sec schl nilisomaga enzi hizo...Nikukirimu miye KWA dagaa WA maweni Kule bwiru
Bwiru kuna dagaa watamu sana.Nikukirimu miye KWA dagaa WA maweni Kule bwiru
Watamu sana uliwala bila kipikwa??Bwiru kuna dagaa watamu sana.
Kupikwa kwao kulifanya wawe watamu zaidi.Watamu sana uliwala bila kipikwa??