zulushaka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2017
- 372
- 299
Lakini ckuhz maisha yamekuwa magumu mpaka NDUGU hatutembeleaniLakini wangu umenisusa mno bwana, mie nipo Mungu ni mwema siku zasonga. Kwema lakini
Lakini ckuhz maisha yamekuwa magumu mpaka NDUGU hatutembeleaniLakini wangu umenisusa mno bwana, mie nipo Mungu ni mwema siku zasonga. Kwema lakini
Hatutembeleani sababu ya foleni zitokanazo na ujenzi unaoendelea kipindi hikiLakini ckuhz maisha yamekuwa magumu mpaka NDUGU hatutembeleani
hiki ndo kijiwe cha kupotezea muda huku tukisubiri wamwishoHatutembeleani sababu ya foleni zitokanazo na ujenzi unaoendelea kipindi hiki
Wamwisho hapatikani leo wala kesho maana kila mtu anatamani yeye ndiyo awe wa mwisho.hiki ndo kijiwe cha kupotezea muda huku tukisubiri wamwisho
Hapo Kati patamu sio maneno yangu hayo ni ya msaniiWa mwisho ndo mshindi zingatia hapo
msanii anaimba vitu vinasisimua kweliHapo Kati patamu sio maneno yangu hayo ni ya msanii
..kweli ndo Maana wimbo ukasitishwamsanii anaimba vitu vinasisimua kweli
Ukasitishwa au ulisitishwa mkuu?..kweli ndo Maana wimbo ukasitishwa
Mkuu wa mkoa wa dar alimaarufu Daud Bashite kaweka hadharani vyeti vyake adai yeye ni profesa mtarajiwa.Ukasitishwa au ulisitishwa mkuu?
Mtarajiwa bi harusi hajatokea kanisaniMkuu wa mkoa wa dar alimaarufu Daud Bashite kaweka hadharani vyeti vyake adai yeye ni profess mtarajiwa.
Kwema lakini tu Dada angu, nitakutafuta private tuyajengeLakini wangu umenisusa mno bwana, mie nipo Mungu ni mwema siku zasonga. Kwema lakini
Tuyajenge tuu maana nahisi undugu unapotea sasaKwema lakini tu Dada angu, nitakutafuta private tuyajenge
Sasa ndiyo wakati muafaka msichelewe mtaachwa na treni hii ya mwendo kasi!!Tuyajenge tuu maana nahisi undugu unapotea sasa
Sasa utarudi upya kama mwanzo niamini wanguTuyajenge tuu maana nahisi undugu unapotea sasa
Kanisani kwa Gwajima ilikuwa ni full usanii badala ya kuleta matokeo ya Daudi Am Bashite.Mtarajiwa bi harusi hajatokea kanisani
Kasi yenyewe haielewekiSasa ndiyo wakati muafaka msichelewe mtaachwa na treni hii ya mwendo kasi!!
Wangu nakuamini ila usintenge hivyoSasa utarudi upya kama mwanzo niamini wangu
Bashite amewafanya watu wasahau yao ya msingiKanisani kwa Gwajima ilikuwa ni full usanii badala ya kuleta matokeo ya Daudi Am Bashite.
Hivyo basi nikutie moyo usijali tupo pamojaWangu nakuamini ila usintenge hivyo