Zero ukimaanisha sifuri au, sio wote mkuu bado tupo wafanisi na tunapiga kazi kwa welediUfanisi katika kazi siku hizi no zero
Weledi sio kazini tu hata 6*6,baba paroko natoa mafundisho.Zero ukimaanisha sifuri au, sio wote mkuu bado tupo wafanisi na tunapiga kazi kwa weledi
Mafundisho hayo ni semina ya ndoaWeledi sio kazini tu hata 6*6,baba paroko natoa mafundisho.
Ndoa za vijana misukosukoMafundisho hayo ni semina ya ndoa
Misukosuko sababu walikurupuka kuingia kwenye taasisi muhimuNdoa za vijana misukosuko
Muhimu ni kujipanga na siyo kukurupuka kama mweweMisukosuko sababu walikurupuka kuingia kwenye taasisi muhimu
Mwewe mla vifarangaMuhimu ni kujipanga na siyo kukurupuka kama mwewe
Yako maneno tu me nimerudi rasmiSasa ndio umerudi rasmi au unabeep kama kawaida yako?
rasmi naingia kwenye ndoa mwaka ujaoYako maneno tu me nimerudi rasmi
Vifaranga vya mbuni vina thamani....Mwewe mla vifaranga
Ujao utafikia kikomo wasipo fungua milango ya ghala....rasmi naingia kwenye ndoa mwaka ujao
Ujao n wakati mgumurasmi naingia kwenye ndoa mwaka ujao
Mgumu ni wewe hadi umenitoa jasho....mmmhUjao n wakati mgumu
Thamani yake haizidi thamani ya vifaranga vya bata mzingaVifaranga vya mbuni vina thamani....
Mgumu sababu hujauchemsha vizuriUjao n wakati mgumu
Vizuri ukahakikishe thamani za vifaranga vya mbuni....Mgumu sababu hujauchemsha vizuri
Mbuni kwani aliwaVizuri ukahakikishe thamani za vifaranga vya mbuni....
Rasmi nakukaribisha tenaYako maneno tu me nimerudi rasmi