osmaney
JF-Expert Member
- Jan 18, 2017
- 1,042
- 1,000
Sasa nawe si ulale ya nin kuendelea kumjbuTu ulitaka nifanyeje sasa
Sasa nawe si ulale ya nin kuendelea kumjbuTu ulitaka nifanyeje sasa
Mashine ya kunyolea nywele imeharibikaKuchat namalizia Leo naogopa kurekodiwa na mashine
Imeharibika siku ya jana, tumshukuru Mungu kwa siku ya janaMashine ya kunyolea nywele imeharibika
Jana na juzi jua lilikuwa kali sana ila leo kuna mvua...!!Imeharibika siku ya jana, tumshukuru Mungu kwa siku ya jana
Mvua afadhali inyeshe sababu mifugo imeanza kukonda kwa ukameJana na juzi jua lilikuwa kali sana ila leo kuna mvua...!!
Ukame huu ni endelevu,mpk wamasiasa waache mambo ya kijingaMvua afadhali inyeshe sababu mifugo imeanza kukonda kwa ukame
Tafadhali jamn huu uzi uishe.... DaahWewe ni mtu special katika familia yako timiza wajibu tafadhali
Daah uzi hauish utambui huu ndiyo uzi unayoishi siku zoteTafadhali jamn huu uzi uishe.... Daah
Zote ni fikra nzuri ila tuvute subiraDaah uzi hauish utambui huu ndiyo uzi unayoishi siku zote
Subira yavuta heri, japo ngoja ngoja yaumiza matumboZote ni fikra nzuri ila tuvute subira
Matumbo yanaunguruma kwa hofu ya kutumbuliwaSubira yavuta heri, japo ngoja ngoja yaumiza matumbo
Kutumbuliwa ni lazima hakuna mswalie maana tulizoea vibaya na tulidharau sheria....Matumbo yanaunguruma kwa hofu ya kutumbuliwa
Sheria ni msumenoKutumbuliwa ni lazima hakuna mswalie maana tulizoea vibaya na tulidharau sheria....
Moyo sukuma damumawazo ni chanzo cha maradhi ya moyo
Mpango na taratibu katk jambo ni kazi yenye ufanisi....Moyo Wa kujitolea na moyo Wa kujituma ndio mpango.