Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Tu, ntaachaje kununa mwanaume unaondoka huagiKuniaga hata wewe hukuniaga Leo asubuhi,umeondoka hata hukunisubiri nikufikishe ofsini kazi yako ni kununa tu
Tu, ntaachaje kununa mwanaume unaondoka huagiKuniaga hata wewe hukuniaga Leo asubuhi,umeondoka hata hukunisubiri nikufikishe ofsini kazi yako ni kununa tu
Kamwe usijidanganye mumeo nitahusishwa na central labda kwa kusingiziwa babyAnanipikia eeeh, sema ukweeli bhana uliitwa central?? Mbona hilo swali walikwepa, nilikutafuta kila jukwaa lakini sikukuona kamwe
Usiokote pia,Mimi siokoti mwenzioTu! tupa usiokote
Sasa x-factor ndugu yangu una mke hajui hata kupika?si utachepuka sana weweAnanipikia chapati ngumu kama maisha ya sasa
Just kidding pacha,sakayo mama Central ni kwa ajili ya mateja tu sio pacha wanguKweli pacha unamuamini sakayo kuliko mimi pacha wako?sakayo shemeji yako huyo,ngoja nimfuate jikoni,yupo jikoni ananipikia
Kubet hufanikiwi ng'o mpaka uwe nabii kama mimiSoon ntaacha kubet
Wangu pacha hakunaga ushemeji ehh usiimbe huu wimbo ndani kwangu,usije tumia fursa wewe kijanaJust kidding pacha,sakayo mama Central ni kwa ajili ya mateja tu sio pacha wangu
Baby ake mie Ulienda wapi lakiniKamwe usijidanganye mumeo nitahusishwa na central labda kwa kusingiziwa baby
Lakini wewe ndiyo maana huwa nakuchapa babyBaby ake mie Ulienda wapi lakini
Wangu shemeji umenigeuka tena, mdogo wangu gbefa yuko wapi anichukue tuuJust kidding pacha,sakayo mama Central ni kwa ajili ya mateja tu sio pacha wangu
Kijana mwenyewe kashanigeuka, yaani nyie sio wa nchi hiiWangu pacha hakunaga ushemeji ehh usiimbe huu wimbo ndani kwangu,usije tumia fursa wewe kijana
hii ndiyo hali uliyoikuta chumbani....Kijana mwenyewe kashanigeuka, yaani nyie sio wa nchi hii
Chumbani taa imeunguahii ndiyo hali uliyoikuta chumbani....
Kuniaga hata mimi hajaniaga hapo ni pacha wangu,yeye ndo kasababisha hatumuoni mama fb,aisha,blaki womaniKweli kabisaa, kwa nini apotee kipindi jukwaa limetaharuki na central yeye atoweke bila hata kuniaga
imeungua kiteweo cha samaki !!Chumbani taa imeungua
Samaki aina ya kolekole wameadimika sokoni kivukoni.imeungua kiteweo cha samaki !!
Samaki akiungua basi km ni mke mpe talaka kuna vitu vya kuunguza lkn sio kitoweoimeungua kiteweo cha samaki !!
Kitoweo cha ugali raha yake kiwe kimepikwa chukuchukuSamaki akiungua basi km ni mke mpe talaka kuna vitu vya kuunguza lkn sio kitoweo
Chukuchuku!!!Kitoweo cha ugali raha yake kiwe kimepikwa chukuchuku
aiseh hayo maneno yetu watu wa pwani