Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Mshituko ukiendelea utasabsbisha madhara mwilini...Kutahamaki kunachanganyika na mshituko
Mshituko ukiendelea utasabsbisha madhara mwilini...Kutahamaki kunachanganyika na mshituko
Mwilini na akili pia huathirikaMshituko ukiendelea utasabsbisha madhara mwilini...
Kibaruani ukienda mwambie yule boss wako, maswala yakukuweka mpaka usiku akijifanya atakulipa overtime hata mimi nitakulipa overtime uje nyumbani mapema sawa?Mkubwa Mungu tu, hope nyote mmeamshwa salama. Mie nawahi kibaruani
Mbona upo kimya sana leo chiefKibaruani mapema sana mbona
Sana sana kuna jamaa humu ndani ana wivu wa kijinga sana nimemgundua, wewe jamaa acha wivu sawa, halafu sakayo ni mke wangu ukinuna ndiyo anazidi kunipenda, lakini wivu mbaya jamani kahhhhhMbona ndo muda mwafaka huu, baadae sana
Chai uje kunywa ukirudi nyumbani achana na chai za mtaani babyPamoja tutaongea baadae, saa hi ni time ya chai
Maendeleo ni kipimo cha mafanikio, je kila wiki ukifanya tathimini ni jambo gani jipya umelifanya, hapo utagundua unakaribia mafanikioKazi ndio msingi wa maendeleo
Viroba ndiyo mpango mzima mkuuMaendeleo hayaletwi kama ni mnywaji wa viroba
Wengi wao walivipenda sana viroba, je wata substitute kwenye kilevi gani??Viroba vimeathiri vijana wengi
Mkuu wa kitengo hiki ni dhaifuViroba ndiyo mpango mzima mkuu
Dhaifu tamka chini chini hizi sio enzi za mkwere, hofu imetanda taifa zimaMkuu wa kitengo hiki ni dhaifu
Zima hiyo taaDhaifu tamka chini chini hizi sio enzi za mkwere, hofu imetanda taifa zima
Taa nikizima hatutaonana mkuu tutagongana pua, au nizime tuZima hiyo taa
Sawa mume wanguKibaruani ukienda mwambie yule boss wako, maswala yakukuweka mpaka usiku akijifanya atakulipa overtime hata mimi nitakulipa overtime uje nyumbani mapema sawa?
Khahhhhh, nani tena ana wivu jamani!!! Au ni wewe wajisemeaSana sana kuna jamaa humu ndani ana wivu wa kijinga sana nimemgundua, wewe jamaa acha wivu sawa, halafu sakayo ni mke wangu ukinuna ndiyo anazidi kunipenda, lakini wivu mbaya jamani kahhhhh
Baby, usinidogoishe bhanaChai uje kunywa ukirudi nyumbani achana na chai za mtaani baby
Tu, zima au ipasue kabisaa ili msionaneTaa nikizima hatutaonana mkuu tutagongana pua, au nizime tu
Msionane ehh ili itokee....Tu, zima au ipasue kabisaa ili msionane
itokee siku moja tukutane mjini, utanishangaa!!Msionane ehh ili itokee....
Utanishangaa pia tukikutana mjini, maana mimi ni padriitokee siku moja tukutane mjini, utanishangaa!!