Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,706
- 51,053
Wasiojielewa ni wanywa virobaSipo kwenye kundi la vijana wasiojielewa
Wasiojielewa ni wanywa virobaSipo kwenye kundi la vijana wasiojielewa
Wanakosa mengi sana wanaojitenga na kuwa karibu na jamii,kujifunza hakuna ukomoWasiojielewa wanaweza kufanya lolote bila kutambua kama wanakosa
Sipo kwenye mashtaka Haya,naomba hati ya mdhamana ili nitoke humuHapa kazi tu, kwa mvivuna mzembe hapa sipo!!
Hapa kwetu Jua ni Kali mno, mwenye taaluma ya utabiri wa hali ya hewa(weather forecasting) atupe japo muelekeo maana hali ya hewa ya sasa sio rafikiMnajua huu mtandao tunotumia ni zaidi ya mingine yote bongo hapa..
Mnaujua mtandao wa ngono???hili swali limekaa kichokozi,watu tunamrudia Mungu we unamtafuta shetani,haya we endelea kupenda ngono tuMtandao wa ngono bongo mnaujua
Mtandao UPI hapa kati ya hii in kiboko yao kwenye mambo ya INTERNET kati ya smile,Tigo,Halotel,vodacom,airtel rising star na zantelBurudani sana tumeukuza mtandao.....
Sana tuuuuHahah... Hii thread burudani sana
Hahahah twin am back let's shine like superstarCccxdgf naijua hiyo hahahaa
Wanayoyafanya KAIRUKI, NGOSHA, NDALICHAKO na SIMBACHAWENE Mungu anawaona!Aibu inayowakumba ziongozi wetu ni matokeo ya maovu wanayoyafanya
Kumepooza sana humu kama coke ya baridi vileHumu ndani vp, mbona kumepooza
Mungu anawaona kama anavyokuona wewe ukijaribu kuhukumu,imeandikwa usihukumu kama hujahukumiwa full stopWanayoyafanya KAIRUKI, NGOSHA, NDALICHAKO na SIMBACHAWENE Mungu anawaona!
Stop, nadhan akuna haja ya kuendeleza uziMungu anawaona kama anavyokuona wewe ukijaribu kuhukumu,imeandikwa usihukumu kama hujahukumiwa full stop
Superstar langu la ukweh twin the man himself where u've been man?happy to see u manHahahah twin am back let's shine like superstar

Uzi huu hauna ukomo nani anabisha,mjukuu wangu IPO Siku atakuja kuta post ya babu yake hapa toxicitiesStop, nadhan akuna haja ya kuendeleza uzi
Man wangu wa ukweli dem boy the Gradiator himself,how is it ma man,yah I have been away kitambo sana kada wangu, nimewamiss sana humu ndani nimemiss michango yenu sanaSuperstar langu la ukweh twin the man himself where u've been man?happy to see u man![]()
![]()
![]()
Sana man Kila nikicheki sioni comment yako nilishindwa kumuuliza hata sakayo,zamiluni na gbefa labda walikuwa wanajua lkn nkasema no, labda jembe michakato mingi lkn kwema pachaMan wangu wa ukweli dem boy the Gradiator himself,how is it ma man,yah I have been away kitambo sana kada wangu, nimewamiss sana humu ndani nimemiss michango yenu sana
Humu tupo, sijui wewe nani alikufichaKiburi tens,mlete huku nimchape viboko,hahaha jamani nimewamiss Sana kada wenzangu mpo pouwa humu