mtebetini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 1,924
- 2,036
Pwani misemo yao inaleta raha kwenye masikio ya wasikilizajiChukuchuku!!!![]()
![]()
aiseh hayo maneno yetu watu wa pwani
Pwani misemo yao inaleta raha kwenye masikio ya wasikilizajiChukuchuku!!!![]()
![]()
aiseh hayo maneno yetu watu wa pwani
Wasikilizaji walvyo wambea wanataman kujua kila kituPwani misemo yao inaleta raha kwenye masikio ya wasikilizaji
Kitu chochote ukitaka kukijua uliza utaambiwa kwani kuuliza si ujingaWasikilizaji walvyo wambea wanataman kujua kila kitu
Ujinga,umaskin na maradh ni adui mkubwaKitu chochote ukitaka kukijua uliza utaambiwa kwani kuuliza si ujinga
Mkubwa Mungu tu, hope nyote mmeamshwa salama. Mie nawahi kibaruaniUjinga,umaskin na maradh ni adui mkubwa
Mbona ndo muda mwafaka huu, baadae sanaKibaruani mapema sana mbona
Saa ngapi utamaliza kazi ili tuonane kuna maudhui tuongee pamoja !!Baadae sana ndio saa ngapi
Pamoja tutaongea baadae, saa hi ni time ya chaiSaa ngapi utamaliza kazi ili tuonane kuna maudhui tuongee pamoja !!
Saa ngapi ni baada ya kaziBaadae sana ndio saa ngapi
Wengi kati ya wanaotumia viroba ni pamoja na weweViroba vimeathiri vijana wengi
Wewe umejuaje ka anatumia, usiwe BashiteWengi kati ya wanaotumia viroba ni pamoja na wewe
BashiteWewe umejuaje ka anatumia, usiwe Bashite
bora ungeniita kondakta tuTulipo sikia paaah!! site tulishituka na kutahamaki..!!Bashite![]()
bora ungeniita kondakta tu
Kutahamaki..!! Kumbe ni mlio wa ingini ya kinu moshiTulipo sikia paaah!! site tulishituka na kutahamaki..!!
Kutahamaki kunachanganyika na mshitukoTulipo sikia paaah!! site tulishituka na kutahamaki..!!