Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,672
- 50,991
Nae alibakari ni Kada wa ccm sitaki kuaminiPacha wako ni yule uliefanana nae
Nae alibakari ni Kada wa ccm sitaki kuaminiPacha wako ni yule uliefanana nae
Pacha ake kama ulikuwa hujui mie ningejulia wapi!!! Kapata mjanja wa kumficha au aliitwa central nae atujuzeSana man Kila nikicheki sioni comment yako nilishindwa kumuuliza hata sakayo,zamiluni na gbefa labda walikuwa wanajua lkn nkasema no, labda jembe michakato mingi lkn kwema pacha
Atujuze kinachoendeleaPacha ake kama ulikuwa hujui mie ningejulia wapi!!! Kapata mjanja wa kumficha au aliitwa central nae atujuze
Alikuficha ehhhhh ili afaidi ehhhe ehhhh kumbe eeehhh jaman sakayo inkiki kimekupata i miss u alotHumu tupo, sijui wewe nani alikuficha
Kinachoendelea anajua yeye maana kupotea huko sio kwa nchi hiiAtujuze kinachoendelea
Miss you a lot too, kwa nini ufichwe kiasi hichoAlikuficha ehhhhh ili afaidi ehhhe ehhhh kumbe eeehhh jaman sakayo inkiki kimekupata i miss u alot
Atujuze kweli sakayo hakuna namna pacha Central ilikuhusu nini pacha haiwezi kuwa kweliPacha ake kama ulikuwa hujui mie ningejulia wapi!!! Kapata mjanja wa kumficha au aliitwa central nae atujuze
Atujuze sakayo kwanini mapenzi mubashara siku hizi yamepunguaPacha ake kama ulikuwa hujui mie ningejulia wapi!!! Kapata mjanja wa kumficha au aliitwa central nae atujuze
Kweli kabisaa, kwa nini apotee kipindi jukwaa limetaharuki na central yeye atoweke bila hata kuniagaAtujuze kweli sakayo hakuna namna pacha Central ilikuhusu nini pacha haiwezi kuwa kweli
Stress in sehemu ya maisha mkuu usiogopeKuamini mimi ni kada wa Ccm ni ujipa stress
Hicho kitendo cha kunijeuzia kibao jamani sakayo wangu kipenzi,sawa tu.Miss you a lot too, kwa nini ufichwe kiasi hicho
Yamepungua baada ya kunikimbiaAtujuze sakayo kwanini mapenzi mubashara siku hizi yamepungua
Sawa tu nini, unaweza vipi kuondoka bila kuniagaHicho kitendo cha kunijeuzia kibao jamani sakayo wangu kipenzi,sawa tu.
Kweli pacha unamuamini sakayo kuliko mimi pacha wako?sakayo shemeji yako huyo,ngoja nimfuate jikoni,yupo jikoni ananipikiaAtujuze kweli sakayo hakuna namna pacha Central ilikuhusu nini pacha haiwezi kuwa kweli
Ananipikia chapati ngumu kama maisha ya sasaKweli pacha unamuamini sakayo kuliko mimi pacha wako?sakayo shemeji yako huyo,ngoja nimfuate jikoni,yupo jikoni ananipikia
Ananipikia eeeh, sema ukweeli bhana uliitwa central?? Mbona hilo swali walikwepa, nilikutafuta kila jukwaa lakini sikukuona kamweKweli pacha unamuamini sakayo kuliko mimi pacha wako?sakayo shemeji yako huyo,ngoja nimfuate jikoni,yupo jikoni ananipikia
Kuniaga hata wewe hukuniaga Leo asubuhi,umeondoka hata hukunisubiri nikufikishe ofsini kazi yako ni kununa tuSawa tu nini, unaweza vipi kuondoka bila kuniaga