Khalidoun
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 2,842
- 4,474
Darisalama hii hii ? Kuihama yahitaji moyoimehamia lini mbona bado wako Darisalama?
Darisalama hii hii ? Kuihama yahitaji moyoimehamia lini mbona bado wako Darisalama?
Mno, ungemalizia tu neno hlo liwe mnofuMahindi yamepanda bei vibaya mno
Mnofu wa nyama ya Ng'ombeMno, ungemalizia tu neno hlo liwe mnofu
Akikonda hana radha kabisa, labda kwa supuNg'ombe ni ng'ombe hata akikonda
Mzima wa afya namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kila la kheriSupu ya pweza ndio mpango mzima
Cccxdgf naijua hiyo hahahaaKheri nini et hdsdgtbkjjjyxvbvcddddddddfhgffgssajnnvccxdddddddhhhbnjjjutdsrghmbcccxdgf
Burudani sana tumeukuza mtandao.....Hahah... Hii thread burudani sana
Mnajua huu mtandao tunotumia ni zaidi ya mingine yote bongo hapa..Mtandao wa ngono bongo mnaujua
Hapa kazi tu, kwa mvivuna mzembe hapa sipo!!Mnajua huu mtandao tunotumia ni zaidi ya mingine yote bongo hapa..
Kiburi tens,mlete huku nimchape viboko,hahaha jamani nimewamiss Sana kada wenzangu mpo pouwa humuWapi aliko hata sijui mie, siku hizi ana kiburi
Muungwana mamaafacebook upogo?Kiburi na majigambo sio sifa za muungwana