Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,735
- 76,360
Joti yule muhindi au huyu wenu wa ComedyMdebwedo ni jina LA pili la joti
Joti yule muhindi au huyu wenu wa ComedyMdebwedo ni jina LA pili la joti
Comedy ni ujanja wangu wa jukuwaaniJoti yule muhindi au huyu wenu wa Comedy
jukuwaani ndio wapi?Comedy ni ujanja wangu wa jukuwaani
Wapi wanapo simama ktk floor iliyo nyanyuliwa juu.. Pale wanasiasa na wasanii wanapo tumbwiza maarifa yao.., ndipo Jukuwani!!jukuwaani ndio wapi?
Jukuwani itakuwa tamu ukila ya baridi huku unashushia na coca cola! ila pale wanaposimama wasanii na wanasiasa panaitwa jukwaaniWapi wanapo simama ktk floor iliyo nyanyuliwa juu.. Pale wanasiasa na wasanii wanapa maarii nafikiri itakuwa tamu ul yao.., ndipo Jukuwani!!
Jukwaani pale juu ndipo nilipo tambulishwa hadharani...Jukuwani itakuwa tamu ukila ya baridi huku unashushia na coca cola! ila pale wanaposimama wasanii na wanasiasa panaitwa jukwaani
Kusutana raha yake uwe msutajiHadharani pazuri kusutana
Msutaji mara nyingi huwa anapenda kutafuna ubuyu mitaani na sehemu nyingine mbalimbali.Kusutana raha yake uwe msutaji
Vile ulivyoandika hilo gazeti unaonekana hivi hivi una hasira na wauza ngadaSehemu nyingine mbalimbali hutumika zaidi kuficha madawa ya kulevya, we fikiria namna watu walivyo na ubunifu wa ajabu, yaani wanachomeka ngada katikati ya muhogo, ngoma inasafirishwa toka Tanga hadi Dar wewe ukijua ni Fuso limejaa mihogo kutibu ukata wa njaa kali ala kumbe Ngada hiyo. Achana na vita ambayo adui yako humwoni, yaani ni kama alshabab vile
Ngada kaka vita yake ni kali sana, si utani - hawa jamaa ni kama wana imani ambayo kutajana ni dhambiVile ulivyoandika hilo gazeti unaonekana hivi hivi una hasira na wauza ngada
Dhambi ya hiyo Ng'anda ni mbaya watakuja kujuta wanaopigana vita ili waendele kufanya hiyo biasharaNgada kaka vita yake ni kali sana, si utani - hawa jamaa ni kama wana imani ambayo kutajana ni dhambi
mawazo hayaish mpaka kufalock haitoki bar ladba upunguze mawazo
majengo ya chuo udom si ndio serikali imehamia?Uchwara au uchakavu wa majengo