BUSARA ZANGU
JF-Expert Member
- May 5, 2013
- 778
- 1,269
Sasa ni wakati muafaka wa kutafakari nilichoingiza tangu alfajiri
Sasa ni muda wa kuandaa cha usikuMwisho Wa dunia umekaribia, tubuni sasa
gani tena we si mtu mzima usiulize watu leo chumbani ni mwendo wa kuch kuchUsiku leo kuna game gani
Powa sana pacha langu de,majukumu yanabana kimtindo,nimewamiss humu wanajamvi jukwaa la vituko,matani.....Sakayo sijui yu-wapi saa hizi,vp pacha za wapi uko powa?
half time arsenal chaliii,vipi HB wa ilala upo mzee mwenyewe,msalimie shemejitatu ndo goli arsenal anafungwa leo first half
ipojee na imekaaje ukimfumania mdogo wako akipigwa sound na kijana wa kitaaHalf London tulita Nairobi kwa uzuri wake, sijui leo ipojee?
mapema kutoka kwa arsenal hakuna uchawi Ila ni kuishiwa kwa mbinu na mfumo mkakatiIpoje timu ya Arsenal, kila mwaka inatolewa kwenye Mechi za UEFA mapema
mkuu niambie,vipi familia yako,Mdogo wako gbefa yupo wapiSakayo nimekuja, umeniita mkuu
usiku ukipika chakula tukaribishe site tujongeeSasa ni muda wa kuandaa cha usiku
wimbo huo nimeimba Mimi mkuu,vipi unataka Ku_copy Na paste,ntakufunga wewe.Shemeji shemeji huku wazima taa, aliimba nani huo wimbo
Ney hajui kuimba kweli au una wivu tu dogo???Wewe hata kuimba hujui kama Ney
Wimbo huo kaimba Marehemu Salum Abdalllah akiwa na bendi ya Cuban MarimbaShemeji shemeji huku wazima taa, aliimba nani huo wimbo
Cuban marimba ok, na ule wa mapenzi yananivunja mgongo je?Wimbo huo kaimba Marehemu Salum Abdalllah akiwa na bendi ya Cuban Marimba
Jee? jembe letu la kutwaa tuzo za kisanii kesha shughulikiwa huko Centro ??!!?Cuban marimba ok, na ule wa mapenzi yananivunja mgongo je?