Njaa ni mbaya sana, ila mie sijashiba bwanaKabisa uwezi kuelewa Dada kwani mwenye shibe hamkumbuki mwenye njaa
Haraka haraka haina barakaMwenye njaa ndo anaona siku ina masaa 24 wengine wanaona masaa yanaenda haraka
Bwana haulizwi waka hajarubiwi..! heshima anapewa na taadhima inamhusu....Njaa ni mbaya sana, ila mie sijashiba bwana
Shikamoo mpendwa karrythas na jioni muruwa kwa wenzangu tuliye ndani ya uzi huu wa ushindani...!!Baraka nitakupa ukiniamkia shikamoo
Mubashara ni neno la kiarabu limekopeshwa bila kulipiwa.....Ushindani huu mbona hauishi? Marhaba.. Nakutakia ushindani mubashara
Kulipiwa haina haja maana twazidi ikuza lughaMubashara ni neno la kiarabu limekopeshwa bila kulipiwa.....
Lugha ya kiswahili nayo ina storia ya ajabu tangu kupatikana kwakeKulipiwa haina haja maana twazidi ikuza lugha
lugha yenyewe watu wanaitumia hovyohovyo tuKulipiwa haina haja maana twazidi ikuza lugha
ushindani huu ulianza mda sana tangia huu uzi uanzishweShikamoo mpendwa karrythas na jioni muruwa kwa wenzangu tuliye ndani ya uzi huu wa ushindani...!!
uanzishwe basi uzi mwingine wa kufunga uzi huuushindani huu ulianza mda sana tangia huu uzi uanzishwe
Kulipiwa litalipwa ZZ ukileta invoiceMubashara ni neno la kiarabu limekopeshwa bila kulipiwa.....
Huu uzi haufungwi hadi nipewe zawadi ya ushindiuanzishwe basi uzi mwingine wa kufunga uzi huu
Ushindi hauji hivi hivi lazima kupambanaHuu uzi haufungwi hadi nipewe zawadi ya ushindi
zawadi ya ushindi atapewa aliyeanzisha huu uzi kuepusha lawamaHuu uzi haufungwi hadi nipewe zawadi ya ushindi
kupambana tunapambana lakini kila siku ndo uzi unapamba motoUshindi hauji hivi hivi lazima kupambana
Moto umewashwa kwa gbefa.....by the way.....u hali gani now g.....miss you sanakupambana tunapambana lakini kila siku ndo uzi unapamba moto
