Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Muhimu sana wewe mtu wangu wa wanguvu kukuona humu i miss u, let the world know how much i miss you
Miss you more, habari za siku mbili tatu mkuu
Muhimu sana wewe mtu wangu wa wanguvu kukuona humu i miss u, let the world know how much i miss you
Super market kuna niniSANA zz nimekumisi sana wapi super market
Mkuu pouwa sana, hali yako vipiMiss you more, habari za siku mbili tatu mkuu
Vipi wewe apo hali yako, mie sijambo Mungu ni mwema anazidi kunitia nguvuMkuu pouwa sana, hali yako vipi
Nini zaidi ya vyakula mbali mbaliSuper market kuna nini
Nguvu kama za red bullVipi wewe apo hali yako, mie sijambo Mungu ni mwema anazidi kunitia nguvu
Red Bull tena, NgastukaaNguvu kama za red bull
Ngastuka mimi kuchunwa buziRed Bull tena, Ngastukaa
Buzi ilikuwa zamani, saivi hiyo kitu hamnaNgastuka mimi kuchunwa buzi
Hamna hiyo kitu kuna nini siku hizi?Buzi ilikuwa zamani, saivi hiyo kitu hamna
Hizi tarehe sio nzuri kwa wafanyakazi wa serikaliHamna hiyo kitu kuna nini siku hizi?
Serikali ya Magufuli haina shambaHizi tarehe sio nzuri kwa wafanyakazi wa serikali
Shamba la nini wakati asilimia zaidi ya themanini ya wananchi wake ni wakulimaSerikali ya Magufuli haina shamba
Serikali inawapenda sana watumishi wote, msiwe na hofu mambo yatakaa sawaHizi tarehe sio nzuri kwa wafanyakazi wa serikali
Shamba na ukame wote huu ni full hasaraSerikali ya Magufuli haina shamba
Wakulima mheshimiwa kawahakikishia ni muda wenu huu wa kuvuna pesaShamba la nini wakati asilimia zaidi ya themanini ya wananchi wake ni wakulima
Wakulima mwaka huu nawao wanaisoma namba maana mvua hainyeshi kwa sababu ya kupisha ukaguzi wa Wakulima hewa.Shamba la nini wakati asilimia zaidi ya themanini ya wananchi wake ni wakulima
Hamna kitu kinauma kama kumpenda mtu asiyekupenda,Buzi ilikuwa zamani, saivi hiyo kitu hamna
Kufika kileleni ni ishu, wewe mwanadada shemela upo, we miss you sana aisehhh shemelaKusini sijawah kufika
Hamna kitu kinauma kama kumpenda mtu asiyekupenda,