Mkuu watu wana misamiati si habaWkuu... Ndio nini mkuu
Haba haba hujaza kibabaMkuu watu wana misamiati si haba
Ushee ni zaidi au ulimaanisha niniKibaba kimoja Sawa na kilo mbili na ushee
..Africa huzingatia mashindano ya kipumbavu sanaMwisho Mwampamba aliwahi kuwa mshindi Wa Big brother Africa.
Kipumbavu sana ni hasara kubwa kuliko ujinga uliyokubuhu .......Africa huzingatia mashindano ya kipumbavu sana
Huna mshindani umeshindaKipumbavu sana ni hasara kubwa kuliko ujinga uliyokubuhu .....

Ujinga ulio kubuhu ni bora kuliko upumbavu .........hamjambo humu ndani??? Nimewamiss sanaKipumbavu sana ni hasara kubwa kuliko ujinga uliyokubuhu .....

Kamwe asikulingie kwan hakupi uhaiSana sana naona sipo katika mood kuna mtu ananilingia wakati me ni mzee wa I dont care za kutosha wala sitingishiki kamwe
Uhai tulionao ni kwa neema tuKamwe asikulingie kwan hakupi uhai
Kamwe hutingishiki lakini mood kaiondoa, nani mchokozi tena jamani mdogo wanguSana sana naona sipo katika mood kuna mtu ananilingia wakati me ni mzee wa I dont care za kutosha wala sitingishiki kamwe
Wangu mdada mmoja hivi sijui nini kitaendelea kati yetu maana imbombo angafu at last mambo yamekuwa hovyo hovyoKamwe hutingishiki lakini mood kaiondoa, nani mchokozi tena jamani mdogo wangu
Hovyo hovyo waandika hata sikuelewi kabisaaWangu mdada mmoja hivi sijui nini kitaendelea kati yetu maana imbombo angafu at last mambo yamekuwa hovyo hovyo