Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Mbali ni nyuma ya pazia....Wataipataje wakati imefichwa mbali
Mbali ni nyuma ya pazia....Wataipataje wakati imefichwa mbali
Pazia lina kazi ganiMbali ni nyuma ya pazia....
Gani kama sio pambo la nyumba?Pazia lina kazi gani
Zz nakutafuta mbon kimyaMbali ni nyuma ya pazia....
Pambo la nyumba ni moja ya kazi ya pazia ila zipo shughuli zake nyingi kadha zafuatia...Gani kama sio pambo la nyumba?
Kimya nilivyo ona hujibu nikaoata mpangaji mpya kesha chukuwa flat namba 2 !!!Zz nakutafuta mbon kimya
Zafuatia comments mbalimbali katika thread hiiPambo la nyumba ni moja ya kazi ya pazia ila zipo shughuli zake nyingi kadha zafuatia...
Thread hii ni mti mkubwa wenye mizizi ilotambaa na matawi yalotanuka...Zafuatia comments mbalimbali katika thread hii
Yalotanuka ni mapua pindi unataka kupiga chafyaThread hii ni mti mkubwa wenye mizizi ilotambaa na matawi yalotanuka...
Chafya moja inatosha kusimamisha moyo na kupelekesha mauti !!!!!Yalotanuka ni mapua pindi unataka kupiga chafya
Chafya huwezi kuizuiaYalotanuka ni mapua pindi unataka kupiga chafya
Matatani au wakauawa kabisaKuzuia ngada kunaweza hatarisha maisha yako na familia yako ikawa matatani
Mkuu ujue hii siku ya leo siielewiKabisa mkuu
Sielewi Toxic9 yuko wapi... Hajaonekana mudaMkuu ujue hii siku ya leo siielewi
Muda kwel sijui alitekwa...... Toxic9.......au umefungiwa guestSielewi Toxic9 yuko wapi... Hajaonekana muda
Guesture ni tunu kuipata kwa mtu wa hovyo hovyo!!!Muda kwel sijui alitekwa...... Toxic9.......au umefungiwa guest
Hovyo hovyo utakuta uchafu umezagaa jiji la DarGuesture ni tunu kuipata kwa mtu wa hovyo hovyo!!!
Dar ni jiji la Joto sanaHovyo hovyo utakuta uchafu umezagaa jiji la Dar