dem boyz
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 7,340
- 16,909
Soko lipo vizuri kwa upande wa kahawa,just guessingPamba na kahawa kipi kina soko
Soko lipo vizuri kwa upande wa kahawa,just guessingPamba na kahawa kipi kina soko
Gussing huu ndo mwisho,na mimi ndo mshindiSoko lipo vizuri kwa upande wa kahawa,just guessing
Wambuzi ni mtu mwema., kwakuwa ametuunganisha na kutukurubisha watu tofauti...Tu.. Tu.. Tumetoka mbali, tangu alipouanzisha Wambuzi
Mvi za karne hii huwakumba vijana mapema kama vile upara ulivyozagaa !!!Tofauti ya vijana na wazee ni idadi ya miaka na sio kuwa na mvi
Umezagaa kama unga wa makondaMvi za karne hii huwakumba vijana mapema kama vile upara ulivyozagaa !!!
Makonda wa daladala sikuhizi wana mbwembweUmezagaa kama unga wa makonda
Mbwembwe hazidumuMakonda wa daladala sikuhizi wana mbwembwe
Hazidumu hizi mbegu shambani maana zipo ya kiwangoMbwembwe hazidumu
Kiwango alicho kuwa amepanga ni kidgo ndio maana hakupata watejaHazidumu hizi mbegu shambani maana zipo ya kiwango
Wateja wengi sana siku hizi wa kununua Mahindi na mtamaKiwango alicho kuwa amepanga ni kidgo ndio maana hakupata wateja
Akhera tutakutana wachache sana wapendwa tuliotenda mema hapa dunianiWakukimbie watu wote lakini penye ukweli usimamie. Mwanadamu si lolote wala si chochote! Mungu ndo Mlipaji wetu duniani hadi kesho Akhera.
Duniani tunapitaAkhera tutakutana wachache sana wapendwa tuliotenda mema hapa duniani
Duniani tulikuja kwa njia mojaTunapita duniani