Ruqaiyah
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 1,118
- 1,483
Mwanamke kuwa boss wa mwanaume ni vizuri sanaBoss Wangu ni mwanamke
Mwanamke kuwa boss wa mwanaume ni vizuri sanaBoss Wangu ni mwanamke
Humo ndani kuna nini mbona umetulia hivyoMtu wangu na wew umoo![]()
Baina yao upendo na amani ni muhimu kutawala na utani kidogoSana sana heshima itakuwa kubwa baina yao
Kidogo nikojoe nje leo mchanaBaina yao upendo na amani ni muhimu kutawala na utani kidogo
Hivyo bhasi naomba uachane na mke wanguHumo ndani kuna nini mbona umetulia hivyo
Fimbo ya mbali haiui nyokaMwanamke hapigwi kwa fimbo
Nyoka wa mtu ni mtuFimbo ya mbali haiui nyoka
Yao ndogo sana hasa kwa upande wa nyumaSana sana heshima itakuwa kubwa baina yao
Mtu wa mwisho kufika nyumbani lazima apigwe tu maana hamna namna sasaNyoka wa mtu ni mtu
Upande wa nyuma umemaanisha nini mkuuYao ndogo sana hasa kwa upande wa nyuma
Nyuma ya nani??Yao ndogo sana hasa kwa upande wa nyuma
usije tatua mtu marinda...... Delicious rapper hawamo humuHumu tupo wapole kama mimiNyuma ya nani??![]()
![]()
![]()
usije tatua mtu marinda...... Delicious rapper hawamo humu
Sasa mimi ndo wamwisho kulala..... Luku imeisha na mita iko nje ya geti..... Snopy kashachukua majukumu yake na simu yangu haina motoMtu wa mwisho kufika nyumbani lazima apigwe tu maana hamna namna sasa
