Kwetu pazuri nimeshapakumbuka ninayo hamu kufika.Sana sana na uchafu haswa huku uswahilini kwetu
Kufika utafika kama uko na usafiriKwetu pazuri nimeshapakumbuka ninayo hamu kufika.
Usafiri wa punda ni raha tupuKufika utafika kama uko na usafiri
Kufika kwako ndio kuondoka kwanguKwetu pazuri nimeshapakumbuka ninayo hamu kufika.
Usafiri wa fisi mtamu sana hasa ukiwa na fisi ya kikeKufika utafika kama uko na usafiri
Kwangu siwezi kukaribisha watu wanaouza Unga.Kufika kwako ndio kuondoka kwangu
Tupu lako la Castle Lite nitamwagiza Sakayo ukuleteeUsafiri wa punda ni raha tupu
Kwenu maisha yanaonekana ya gharama kuliko mikoani kuna ahuweni....Unga umepanda sana kilo 1600 mtaani kwetu vipi wakuu mitaani kwenu
Ahueni wapi, twapambana hivyo hivyoKwenu maisha yanaonekana ya gharama kuliko mikoani kuna ahuweni....
Hivyo hivyo hata huku nilipo ni kupambanaAhueni wapi, twapambana hivyo hivyo
Ujasiri na nguvu pia vyahitajikaKupambana na aliyekuzidi nguvu inahitaji ujasiri
Magu ni wilaya moja huko usukumani iliyobobea zao la Pamba !!!Kazi ni kazi ktk usawa wa magu
Soko la feri ni maarufu kwa samakiPamba na kahawa kipi kina soko