..giza Linakaribia kwishaUsioyajua ni sawa na usiku wa giza
Mungu ni wetu soteKwisha kabisa usiku, tumeamka salama kwa neema za Mungu
Sote tuliumbwa kwa ajili ya kumwabudu YeyeMungu ni wetu sote
Kusalimiwa ni jambo la heri....... Je mko salama humu ndani...... Nawatakieni siku njema yenye furahaYeye ambae hasalimi watu hawezi kusalimiwa

Furaha tumeipata baada ya kutusalimia,hatujambo siku njema iwe kwako piaKusalimiwa ni jambo la heri....... Je mko salama humu ndani...... Nawatakieni siku njema yenye furaha![]()
Kareem ni wema na ukarimu wa MwenyeEzzi Mungu, siyo tuombe baraka zake ktk amali (matendo) yetu mema, nae atajibu !!!Pia msisahau kwenda masjid leo ijumaa qareem.
Atajibu kwani yeye ndiye Muumba wa Ardhi na MbinguKareem ni wema na ukarimu wa MwenyeEzzi Mungu, siyo tuombe baraka zake ktk amali (matendo) yetu mema, nae atajibu !!!
Eleweka,fahamika,tambulika maneno yote yana maana sawa kama sijakoseawangu ni mtihani usio eleweka
Sijakosea kuwaambia ndugu zangu muache kutenda mambo machafu na anasa za kidunia kumbukeni kumwabudu mungu wa kweli.Eleweka,fahamika,tambulika maneno yote yana maana sawa kama sijakosea
Kweli tunamuabudu ila nafsi zetu zinamsukumo wa nguvu.....Sijakosea kuwaambia ndugu zangu muache kutenda mambo machafu na anasa za kidunia kumbukeni kumwabudu mungu wa kweli.
Wenyewe wana virusi na unyonge wa mwili.., hiyo nguvu ya Umma wataipatajee..????Nguvu ya umma ni wananchi wenyewe