Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
chini ya utawala wa Mfalme Suleiman !!Hutoweka, huku watu wakiwa na manung'uniko ya chini chini
chini ya utawala wa Mfalme Suleiman !!Hutoweka, huku watu wakiwa na manung'uniko ya chini chini
Ulipita pande za central Police? Hebu tuambie yaliyojiriSuleiman alikuwa na busara na mali zote lakini naye muda wake ulipita
Makali au nguvu za dola yenye umakini ?Yaliyojiri ni aliyeshika mpini kuendelea kuwashughulikia walioshika upande wa makali
Umakini ni huu sichangii tena nasubiri mshindi, Wakuu endeleeniMakali au nguvu za dola yenye umakini ?

Endeleeni wakati na mm napambana kua mshindiUmakini ni huu sichangii tena nasubiri mshindi, Wakuu endeleeni![]()
![]()

Kombe langu nalisubir kwa hamuMshindi ni Mimi guys naombeni kombe langu
Kwa hamu nimekusubiri lakini umeniangusha ujaja kwaniniKombe langu nalisubir kwa hamu
Kwanini umenisubiri kwa hamu gbefa.......kuna tatizoKwa hamu nimekusubiri lakini umeniangusha ujaja kwanini
Tatizo ni lile lile la siku zote kwanini hautaki kuwa na....Kwanini umenisubiri kwa hamu gbefa.......kuna tatizo
kuwa na nini mbona humalizii?Tatizo ni lile lile la siku zote kwanini hautaki kuwa na....
Kuwa na.......Tatizo ni lile lile la siku zote kwanini hautaki kuwa na....
kunani gbefa unanipa utataHumalizii nini mkuu nipo kwa utani na mtu wangukuwa na nini mbona humalizii?
Utata gani kipi usichojua unataka kumwaga ugali wewe, me nitamwaga mboga tuendeleeKuwa na.......kunani gbefa unanipa utata
Mtu wangu na wew umooHumalizii nini mkuu nipo kwa utani na mtu wangu

Tuendelee na mengine boss....Utata gani kipi usichojua unataka kumwaga ugali wewe, me nitamwaga mboga tuendelee
Boss Wangu ni mwanamkeTuendelee na mengine boss....