Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Ngombe watatu niuze ili nipate elfu ishirini ninunue mahindi ambayo nitakula kwa siku mbili tu, wakati tulikuwa tunanunua debe kwa elfu nne!!
 
Kweli sasa mi ndio mshindi maana atakayefata baada yangu ana matatizo ya akili.
Matatizo ya akili wanayo wengi tu, data zinasema kati ya watanzania 5 basi 3 wana mtindio wa ubongo!! aisee kumbe hili taifa ni la vilema tupu
 
wanaanza wakati shindano lenyewe hewa, yaani Bongo kila kitu hewa, hewa - hizi hewa hewa zitajenga viwanda kweli??
Ama hakika karibia kila kiongelewacho ni hewa si unaona hata ukuaji wa uchumi wenyewe hewa... Na sisi acha tushiriki mashindano hewa maana tunaishi kwa kufuata misingi ya system hewa iliyopo.
 
Back
Top Bottom