atug
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,821
- 3,618
Mshindi kupatikana humu bado sanaLeo hatopatikana mshindi ...!!
Mshindi kupatikana humu bado sanaLeo hatopatikana mshindi ...!!
Mshindi atatangazwa baada ya miaka mingi ijayoLeo hatopatikana mshindi ...!!
Sana sana naweza kuwa mimiMshindi kupatikana humu bado sana
Mimi ndio mshindi, habari za wewe mamySana sana naweza kuwa mimi
Mami sakayo mm ndio mshindi nipeni kombeMimi ndio mshindi, habari za wewe mamy
Kombe la dunia linachezwa mwaka gani?Mami sakayo mm ndio mshindi nipeni kombe
Mwaka gani hata cjui?Kombe la dunia linachezwa mwaka gani?
Cijui tokea lini sijaingia humuMwaka gani hata cjui?
Humu ndani vipi mmepika chakula wapendwa maana nina njaa kweliCijui tokea lini sijaingia humu
Cjui ni ID ya demu wangu humu Jamiiforums.Mwaka gani hata cjui?
Sheria ziliwekwa ili zivunjwe zisipovunjwa hakuna umuhimu wa kuwepo kwakeLakini mie sijambo, sijui wewe apo na wengine humu, kwetu tunaadhimisha siku ya sheria
Kwake kuna siyafu nyingi zimetokea chimoni..!!Sheria ziliwekwa ili zivunjwe zisipovunjwa hakuna umuhimu wa kuwepo kwake
Kombe hupewi labda mjukuu wako ndo atakuja kulichukuaMami sakayo mm ndio mshindi nipeni kombe
Kwake Yesu nasimama, vipi mdogo wangu miss wewe sanaSheria ziliwekwa ili zivunjwe zisipovunjwa hakuna umuhimu wa kuwepo kwake
Chimoni ndo wapi Zz, Upo ndugu nimekumiss sana jamaniKwake kuna siyafu nyingi zimetokea chimoni..!!
Niko powa tuuHumu ndani vipi mmepika chakula wapendwa maana nina njaa kweli
a. rahabu mambo vipi mkuu
Jamani natamani niwe wa mwisho humu nipate ushindiChimoni ndo wapi Zz, Upo ndugu nimekumiss sana jamani
Tu wewe a.rahabuNiko powa tuu
Sana hata me pia Dada hope unafanya vizuri kwa afya yako na majukumu yakoKwake Yesu nasimama, vipi mdogo wangu miss wewe sana
Yako vp!yamekaa powa Mr.gbefa??Sana hata me pia Dada hope unafanya vizuri kwa afya yako na majukumu yako