dem boyz
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 7,340
- 16,909
Bata batani Namge tule woteMje tule bata
Bata batani Namge tule woteMje tule bata
Wote humu ndani tutupie maneno ya mtongozoBata batani Namge tule wote
Mnawapa yote lakini waume/wake wenu kama ilivyokawaida kwa wapendanao?Mtongozo upi tena hata siasa ni mtongozo mkuu maana wanashawishi hadi mnawapa
Wapendanao huishi kwa amani, habarini za asubuhi wapendwaMnawapa yote lakini waume/wake wenu kama ilivyokawaida kwa wapendanao?
Wapendanao cku zikitimia ndo maaduiMnawapa yote lakini waume/wake wenu kama ilivyokawaida kwa wapendanao?
Wapendwa watazamaji nawapeleka moja kwa moja marekaniWapendanao huishi kwa amani, habarini za asubuhi wapendwa
Maadui wa mwanadamu ni ujinga, maradhi na umasikini.Wapendanao cku zikitimia ndo maadui
umasikini ndio wimbo wa taifaMaadui wa mwanadamu ni ujinga, maradhi na umasikini.
Taifa letu lina amani sanaumasikini ndio wimbo wa taifa
Taifa letu lina amani sana
Vipi kwema lakini mkuu lin
Wewe acha tu raha niipatayo kwa mpenzi wangu...(jina kapuni) yaani nidekezwa, nabembelezwa na napewa kila kitu nikihitaji ila isipokuwa ndogo 0713Lin ajambo sijui wewe?
Nini maana ya G-spotMkuu umemaanisha nin
Mbarikiwe woteHamjambo waheshimiwa Mdogo wenu gbefa yupo hapa muda huu, natumai nyote mlikuwa na wakati mwema jamani jambo LA kheri mbarikiwe