stacia
JF-Expert Member
- Oct 31, 2016
- 752
- 1,475
Mabweni mengi yaliungua aiseeh!2016 hali ilikuwa ngumu kwa matetemeko na kuungua kwa shule na mabweni.
Mabweni mengi yaliungua aiseeh!2016 hali ilikuwa ngumu kwa matetemeko na kuungua kwa shule na mabweni.
Aiseeh! Kumbe amehutubia kwa kiswahili!Mabweni mengi yaliungua aiseeh!
Mbarikiwe wote akiwemo wewe mdogo wangu, jioni ikoje kwenu wakuuHamjambo waheshimiwa Mdogo wenu gbefa yupo hapa muda huu, natumai nyote mlikuwa na wakati mwema jamani jambo LA kheri mbarikiwe
Wakuu wa wilaya na mikoa huwa wanapatikana vipi?Mbarikiwe wote akiwemo wewe mdogo wangu, jioni ikoje kwenu wakuu
Huko kwenu mvua imenyesha leo?Wanapatikana vipi ukijua unataka upewe mkuu, maisha sio mepesi hivyo mzee wa plate number, kwema lakini huko
Kwetu pazuri nimeshapakumbuka ninayo hamu kufika.Huko Marekani nako kwafuka moshi, kutumbua kama ilivyo kwetu!
Kufika sio hoja, hoja umefikafika je!Kwetu pazuri nimeshapakumbuka ninayo hamu kufika.
Kufika kwa wajumbe wa wiazra kulitufanya tuwe wanyonge....Kwetu pazuri nimeshapakumbuka ninayo hamu kufika.
Kupewa ndogo kunahitaji ujasiri ulio tukuka kwa kweli maana si kwa utamu ule!!Wapeni wenye kustahili kupewa
Ule utamu ndo utakao kupeleka jehanamu...Kupewa ndogo kunahitaji ujasiri ulio tukuka kwa kweli maana si kwa utamu ule!!
Jehanamu ndipo yalipo makazi Ya waasi wa Amri za MunguUle utamu ndo utakao kupeleka jehanamu...
Amri za Mungu zapaswa kushikwa sanaJehanamu ndipo yalipo makazi Ya waasi wa Amri za Mungu
Langu limenistaajabisha ati mbantu kujiita mhindi hapo juu.., hata ndg. Anna Leonard kashuhudia.....!!!Sana sana Mimi ndie mhindi game is over ukijibu wewe ni kilaza kombe langu ® <(*_*)>
Yake ilidorora na kupoteza mvuto ktk shindano la African has talents !!!Kashuudia watu wanavyokimbia asili yao, hakika tumetekwa na mabepari, au anajiita mhindi kwa ajili ya ubahili wake, ubahili unaosababishwa na hali ngumu ya maisha na sio nature yake..