Namge
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 1,446
- 1,991
Talents win games Team work win competitionYake ilidorora na kupoteza mvuto ktk shindano la African has talents !!!
Talents win games Team work win competitionYake ilidorora na kupoteza mvuto ktk shindano la African has talents !!!
competition..izingatie vigezo na masharti.....Talents win games Team work win competition
Masharti ya mnadani ni kulipa fedha taslimu!!!competition..izingatie vigezo na masharti.....
Taslimu ina maana gani vile?Masharti ya mnadani ni kulipa fedha taslimu!!!
Robert Kiyosaki yule mjapani?Akiba(saving) ni mfumo mzuri wa fedha kwaajili ya kuendesha maisha yako , hii elimu natamani nidondoshe nondo hapa au ka-article kakusaidie kukupa elimu ya nini maana na dhana ya kuweka akiba, natamani nikufundishe ila kwa kukusaidia nenda kasome kitabu kinaitwa BUSINESS SCHOOL BY ROBERT KIYOSAKI
ZZ mie bukheri wa afya.., Sasa maana ya taslimu ni cash !!Taslimu ina maana gani vile?
Vipi kwema lakini mkuu Zamiluni Zamiluni.
Cash eti eeeeee bhasi mororooZZ mie bukheri wa afya.., Sasa maana ya taslimu ni cash !!
ZZ mie bukheri wa afya.., Sasa maana ya taslimu ni cash !!
All beauty faces nawatakia jioni muruwa...!Miss you all![]()
Muruwa na kwako piaAll beauty faces nawatakia jioni muruwa...!
Pia Aishah2016 alikuwepoMuruwa na kwako pia
Muruwa sana sifa kwa MuumbaAll beauty faces nawatakia jioni muruwa...!
Pia ni vizuri kupumzika baada ya kazi za mchana kutwaMuruwa na kwako pia
Alikuwepo kwenye maandamanoPia Aishah2016 alikuwepo
Maandamano yatasaidia nini ? Wakati hali halisi inajieleza kweupe !!!Alikuwepo kwenye maandamano
Kweupe leo nimempata ZZ bila shaka ni mwendelezoMaandamano yatasaidia nini ? Wakati hali halisi inajieleza kweupe !!!
Mwendelezo wa kuja kukutembelea huko ulipo ni taadhima yangu na heshima kwako...!!Kweupe leo nimempata ZZ bila shaka ni mwendelezo
Alikuwepo wap quigleyPia Aishah2016 alikuwepo
Kwako yawezekana muda wasubiriwaMwendelezo wa kuja kukutembelea huko ulipo ni taadhima yangu na heshima kwako...!!