Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,745
- 51,214
Nini zaidi ya pesa mkuu, sakayo yupo tu nitamkuta tu nyumbani acha nitafute pesa kwanzaWapiiiiiiiiiiiiiiiiii wewe ndo umepotea au sakayo alikuficha nn![]()
Nini zaidi ya pesa mkuu, sakayo yupo tu nitamkuta tu nyumbani acha nitafute pesa kwanzaWapiiiiiiiiiiiiiiiiii wewe ndo umepotea au sakayo alikuficha nn![]()
Yakuungaunga mamii ake ehhh,, teh teh dah kuja hapa ni hadithie ulikua wapi, maana sio kwa ukinya huo banah weeee ehhhh the black womaniJanuary ni mwezi unaokuwa na matumizi makubwa huku mshahara wa Dec ulimalizika mapema maisha yanakuwa yakuungaunga
Nini tena aisha jamani, naogopa tembo wenu wewe hujui tu, mtawatoa lini ili nije kwenu kusalimia aisehhhWapiiiiiiiiiiiiiiiiii wewe ndo umepotea au sakayo alikuficha nn![]()
Aisee tembo wanazidi kuongezeka jana kamezaliwa katembo kengine kadogo ka kike yaan she is so prettyNini tena aisha jamani, naogopa tembo wenu wewe hujui tu, mtawatoa lini ili nije kwenu kusalimia aisehhh

Kwanza pesa yenyewe ikipatikana inaishia mkononi hakuna cha akibaNini zaidi ya pesa mkuu, sakayo yupo tu nitamkuta tu nyumbani acha nitafute pesa kwanza
Pretty like u ehh hahahaha hao tembo wizara ya maliasili na utalii wanajua kama mnataifisha tembo wa taifa hahahaha jiandae kwa mashtakaAisee tembo wanazidi kuongezeka jana kamezaliwa katembo kengine kadogo ka kike yaan she is so pretty![]()
![]()
Black womani alibanwa kidogo na majukumu ya ulinzi wa faru FaustaYakuungaunga mamii ake ehhh,, teh teh dah kuja hapa ni hadithie ulikua wapi, maana sio kwa ukinya huo banah weeee ehhhh the black womani
Akiba(saving) ni mfumo mzuri wa fedha kwaajili ya kuendesha maisha yako , hii elimu natamani nidondoshe nondo hapa au ka-article kakusaidie kukupa elimu ya nini maana na dhana ya kuweka akiba, natamani nikufundishe ila kwa kukusaidia nenda kasome kitabu kinaitwa BUSINESS SCHOOL BY ROBERT KIYOSAKIKwanza pesa yenyewe ikipatikana inaishia mkononi hakuna cha akiba
Nitakitafuta mkuu nikisome lakini ungedondosha kwenye jukwa la elimu hata wengine wajifunzi kupitia wewe. Hata kwa ufupishoAkiba(saving) ni mfumo mzuri wa fedha kwaajili ya kuendesha maisha yako , hii elimu natamani nidondoshe nondo hapa au ka-article kakusaidie kukupa elimu ya nini maana na dhana ya kuweka akiba, natamani nikufundishe ila kwa kukusaidia nenda kasome kitabu kinaitwa BUSINESS SCHOOL BY ROBERT KIYOSAKI
Mwema wa watu mi mbora wao !! japo zama hizi hapatikani.....!!!Ufupisho ni kwamba katafute kwa faida yako Dada black woman kukutafutia itakuwa ngumu uwe na wakati mwema
Hapatikani kama ilivyo kwa ZZ siku hizi unajua nimekumic lakiniMwema wa watu mi mbora wao !! japo zama hizi hapatikani.....!!!
ZZ amekuwa busy sana sijui kamwachia nani jukwaaHapatikani zz
Jukwaa kaniachia mm.. Mm haujanimiss?ZZ amekuwa busy sana sijui kamwachia nani jukwaa
Haujanimic niibuke now Kichuna wanguJukwaa kaniachia mm.. Mm haujanimiss?
Wangu wa moyoni kaniacha hivi hivi jamaniHaujanimic niibuke now Kichuna wangu
Mme amkaje humu jukwaani...... Nawatakieni siku njemaJamani mmeamkaje

siku njema nawatakia woteMme amkaje humu jukwaani...... Nawatakieni siku njema![]()
![]()