kubwa_Lao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 934
- 1,186
Mvua ikanyesha bila radiMaana yake ni kwamba umeondoka dia sizonje ndio mvua ikanyesha![]()
Mvua ikanyesha bila radiMaana yake ni kwamba umeondoka dia sizonje ndio mvua ikanyesha![]()
Radi inatoa sauti ya mpasuko wa mbingu !!!Mvua ikanyesha bila radi
Sogea nikunong'oneze kituSqueeze maana yake ni kamua au sogea

Vizuri sana mvua zimeanza kunyesha, habari za kwenu humu ndaniSogea nikunong'oneze kitu![]()
Missing you guys![]()
![]()
![]()
![]()
I hope mko poa na siku inaenda vizur![]()
Mbingu ikipasuka inatoa sauti gani mzee Zamiluni? teh teh teh teh natambua uwepo wakoRadi inatoa sauti ya mpasuko wa mbingu !!!
Ndani hawajambo... Huko nje kwema?Vizuri sana mvua zimeanza kunyesha, habari za kwenu humu ndani
Humu ndani tuko poa...... Kwa upande wa mvua Mwanza tumepunguziwa vumbi na kusafishiwa mabati tuu.Vizuri sana mvua zimeanza kunyesha, habari za kwenu humu ndani
Radi ni noma kubwa laoMvua ikanyesha bila radi
Kubwa Lao umepotea sanaRadi ni noma kubwa lao

Kwema sana atug wangu , vipi za wapi hiyo mdada,Ndani hawajambo... Huko nje kwema?
Tuu ahhhhh kweli karrythas? Mvua za rasha rasha ehh, angalau lakini mvua imenyeshaHumu ndani tuko poa...... Kwa upande wa mvua Mwanza tumepunguziwa vumbi na kusafishiwa mabati tuu.
Tupu majanga, njaa kali, ukame uliokithiri, pesa mfukoni pia zimekataTuuvuke tu huu mwezi ni majanga tupu
Tupu majanga, njaa kali, ukame uliokithiri, pesa mfukoni pia zimekata
Sana sana umepotea wewe aisha, hivi upo jamani, namge hajambo? Umemficha wapi,Kubwa Lao umepotea sana![]()
Sana sana naogopa tembo wenuKubwa Lao umepotea sana![]()
Wapiiiiiiiiiiiiiiiiii wewe ndo umepotea au sakayo alikuficha nnSana sana umepotea wewe aisha, hivi upo jamani, namge hajambo? Umemficha wapi,

January ni mwezi unaokuwa na matumizi makubwa huku mshahara wa Dec ulimalizika mapema maisha yanakuwa yakuungaunga
Hahahahahh January is full of stress acha tu mwezi Januari upite
Zimekata kutoka makao makuu sasa mfukoni zitafikaje wengine wamepiga SA na loan bora maisha ya leo kesho itajisumbukiaTupu majanga, njaa kali, ukame uliokithiri, pesa mfukoni pia zimekata